Nakupenda sana laazizi Bantu Lady

Nakupenda sana laazizi Bantu Lady

nimeonaa, mshadumbukia nije kukuibua wewe peke yako?

Hujitaki ama hujipendi Mokoyo?
Mi nakuonea huruma ujue.... Ombea tu Sungura1980 asione hapo. Ngoja nikunong'oneze ( Anatembea na tindikali)
 
Hujitaki ama hujipendi Mokoyo?
Mi nakuonea huruma ujue.... Ombea tu Sungura1980 asione hapo. Ngoja nikunong'oneze ( Anatembea na tindikali)

hahahahahaha mimi natembea na paja la kuku, nani zaidi?
 
Ndio asikusikie oooh. Unakumbuka mwenye HSC alikuwa nayo ila si unajua kilichotokea? Kwahiyo kuwa makini tu humu.
hahahahaha unajitahidi kunitisha ila na mimi sitishiki, wewe siku ukitaka kunyanyuliwa tu nishtue mimi nitakuwepo kwaajili yako
 
hahahahaha unajitahidi kunitisha ila na mimi sitishiki, wewe siku ukitaka kunyanyuliwa tu nishtue mimi nitakuwepo kwaajili yako

Etieeeh kwahiyo nikiachika wewe utakuwa kwaajili yangu? ila hapa asisome mume wangu please inaweza ndio ikawa tiketi bure.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom