Nakupenda sana laazizi Bantu Lady

Nakupenda sana laazizi Bantu Lady

Hongereni kwa kutuleteay usanii wenu hapa jamvini.

Unaongea kitu hata hukijui, usanii gani unaouongelea wewe?
Sisi ni wapenzi real, sijui wewe unamaanisha nini na huo usanii. Hata km ingekuwa usanii wewe unadhurika na nini ndugu?
 
Nimeshaacha mambo ya kufikiria jenereta hata umeme ukikatika. Sasa hapo unataka kazi na kuwa karibu namimi uongo?

Kama vile umeshanielewa! Najua ukimwambia Mzee ujio wangu kwako hachomoi.
 
Naona kama kidumu changu cha tindikali kinacheza cheza chenyewe,,kinataka kubebwa!

Mkuu usifanye hivyo! Hata wazee walisema mti wenye matunda ndiyo unaorushiwa mawe! Mkeo akiwa mzuri mpaka watu wakachanganyikiwa inabidi ujisifu, huna haja ya kuwafukuza nyuki kwani ndiyo watengeneza asali ingawa wanadhuru.
 
Ujio wa aje tena Rich Pol, bado uko safari?
Unataka muwe wawili ama? Sasa mapenzi huwa hayagawanyiki ndio tatizo.

Malkia bado Niko safari! Ila nikirudi nitawaletea zawadi, mwabie Mzee asinielewe vibaya mimi nawafuata nyuma tu kama fisi mnapotembea na kurusha mikono nahisi kama mikono inadondoka nami mate yanitoka nahisi kama mikono inadondoka nipate kitoweo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom