Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,687
- 28,849
Lazima uwepo kwa ma maids, si ndio sweetie
Mi niweke kwenye kamat ya makulaji ndo nafiti
Lazima uwepo kwa ma maids, si ndio sweetie
Mi niweke kwenye kamat ya makulaji ndo nafiti
Hahahahaaaa usiniambie huko ndio upatakako powa niwewe tu love.
Je Daudi1 yeye sijui tumuweke wapi.
Excel umenikumbusha mbali na hii kitu eeeeh. Huyu mume hashtuki nataka mtafutia jenereta maana nahisi ni Tanesco yeye!!!
aisee.. kumbe wewe ndiwe sungura1980? actually hongera kwa kuwa na Bantu lady..
mimi naitwa KING Excel...!
i hope ulishawahi kukutana na mimi mahala either theoretically ama practically ama kunisikia sikia mahala!
ndo mimi sasa... mtunze sana Bantu lady!
Nakuona ujue
Yaani pawe kama Jangwani au uwanja wa taifa au bonde la Msimbazi
Mkuu mambo vipi? Naomba kazi nyumbani kwako, kazi zote za ndani! Sihitaji mshahara mkubwa, utanikadilia na utendaji wangu wa kazi.
Mkuu Rich Pol hilo halina shaka hata kidogo,tuna nyumba mbili moja ipo Dar Mbezi na ndiyo tunaishi na malkia Bantu lady na nyingine ipo Mwanza tunafanya ufugaji wa kuku,nadhani utatusaidia sana huko Mwanza!Hahahaaaaaa!
aiseeeee Bantu lady. ni nkulinda..........Rich Pol una mpango wa kuivunja vipande ndoa yangu ama?
Kama ni kazi uende Mwanza kama mume wangu alivyokwambia, ukafuge kuku kule na ng'ombe hiyo itakufaa. Hapa Dar tunao watumishi wa kutosha.
aiseeeee Bantu lady. ni nkulinda..........
Mkuu hao kuku siwezi kukaa nao Mwanza, nitawala tu, naomba nikae town nimtumikie malkia hasa ukiwa haupo, nitafanya kazi zote mkuu.
Rich Pol una mpango wa kuivunja vipande ndoa yangu ama?
Kama ni kazi uende Mwanza kama mume wangu alivyokwambia, ukafuge kuku kule na ng'ombe hiyo itakufaa. Hapa Dar tunao watumishi wa kutosha.
Mkuu hapa watumishi wako wengi sana,unataka kazi,Mwanza!Malkia namtumikia mimi mwenyewe!!
Siwezi kuvunja ndoa yako hata siku moja na wewe unajua, ila natafuta kazi tu! Naomba uniombee kwa Mzee nitakuwa mtiifu kwako, hata siku umeme ukizimika generator likija nitakaa kimya tu.