Nakupenda sana laazizi Bantu Lady

Nakupenda sana laazizi Bantu Lady

Dinazarde nini sasa ugomvi huo. hahahahaaa mbona tena unashangaa ndio kupendwa huko oooh

Bishost nimeshangaa unavyopendwaa maana nimejiuliza mpaka mlima kilimanjaro uwe tambarale na Zenji watu waende kwa basi sijui itakua ni lini
Hongera ukipendwa pendeka, ukishikwa shikamana lol una bahati
 
sio kuwa mdogo, mila zetu zinaruhusu kumheshimu mdogo, Nampa heshima yake kwa uwepo wake tu

Asante sana kaka yangu Mokoyo,ninajivunia kuwa na kaka kama wewe!Nimekumbuka wakati ule nasoma shule ya msingi ulivyokuwa hutaki mtu yeyote anionee!
 
Last edited by a moderator:
hongera Bantu lady wamekugombania wee hatimaye sungura mjanja akashinda hongereni sana mnialike tu kwenye ubwabwa
 
Last edited by a moderator:
hongera Bantu lady wamekugombania wee hatimaye sungura mjanja akashinda hongereni sana mnialike tu kwenye ubwabwa

Asante shem shansarie,mti wenye matunda matamu ndio unaopigwa mawe,urembo wake,tabia zake ndivyo vilivyotufanya tugombanie kurusha mawe!Asante mrembo wangu Bantu lady kwa kulipokea na kulitunza pendo langu!Nakupenda nakupenda nakupenda malkia wangu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom