Nakupenda sana laazizi Bantu Lady

Nakupenda sana laazizi Bantu Lady

Etieeeh kwahiyo nikiachika wewe utakuwa kwaajili yangu? ila hapa asisome mume wangu please inaweza ndio ikawa tiketi bure.

hata sasa hivi, nime-highlight ili asome vizuri ili aharakishe maamuzi yake, nijifaidie
 
hata sasa hivi, nime-highlight ili asome vizuri ili aharakishe maamuzi yake, nijifaidie

Kumbe hunipendi, sasa akiona huenda hiyo tindikali akanianzia nayo mimi. Nikishaharibika si utanikimbia wewe.
Ila mume wangu ananipenda sana, sitaki kudanganyika na mwingine.
Anajitoa sana kwangu. Asante mume wangu kwa kunipenda.
 
hahahahaha unajitahidi kunitisha ila na mimi sitishiki, wewe siku ukitaka kunyanyuliwa tu nishtue mimi nitakuwepo kwaajili yako

Kaka Mokoyo ni wewe au kuna mtu kahack account yako!Kikao cha kifamiliya kinakusubiri!

Cc. baba mkubwa Kaizer
 
Last edited by a moderator:
Kumbe hunipendi, sasa akiona huenda hiyo tindikali akanianzia nayo mimi. Nikishaharibika si utanikimbia wewe.
Ila mume wangu ananipenda sana, sitaki kudanganyika na mwingine.
Anajitoa sana kwangu. Asante mume wangu kwa kunipenda.
hawezi kukutindikali huyo laaziz wako namjua akipenda amependa anakuwa kama kile kitabu cha "Zuzu na Akili"
Kaka Mokoyo ni wewe au kuna mtu kahack account yako!Kikao cha kifamiliya kinakusubiri!

Cc. baba mkubwa Kaizer
Ndugu yangu mimi wala sijakufanyia hiyana, kuwa na amani

Haaaa,nimesoma,utasubiri sana,wenyewe tunapendana sana

Bora umwambie laazizi wangu!
haya sasa wapendanao, maalaaziz
Nakupenda sana honey. Asante kwa leo unajua ni nini.......
 
Hahahahahaaaa Mokoyo uwiii umenifanya nicheke asubuhi hii. Kweli unamjua ndugu yako eti akipenda anakuwa km kwenye kitabu cha zuzu na akili.
Baada ya nduguyo kuja umekuwa mdogo kama nukta.
 
Asante sana kaka Mokoyo,you made my day!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaaaa Mokoyo uwiii umenifanya nicheke asubuhi hii. Kweli unamjua ndugu yako eti akipenda anakuwa km kwenye kitabu cha zuzu na akili.
Baada ya nduguyo kuja umekuwa mdogo kama nukta.

sio kuwa mdogo, mila zetu zinaruhusu kumheshimu mdogo, Nampa heshima yake kwa uwepo wake tu
 
Nilikuona baby wangu. Mokoyo huyo ndio kakusababishia uwe na mawazo. Ajue tu sing'oki kwako your my everything, sitaki kabisa kosa raha zako, wewe ni wa tofauti na nakupenda sana.

mimi kaka yake ndio nina raha zaidi maana huyo laaziz wako ni mdogo wangu wa damu, toka nitoke
 
hajaaamka na headache kweli huyo mdogo wangu?

Yaani nahisi aliamka nayo. Maana usiku hakulala vizuri, alikuwa na mawazo coz hayo angesema mtu wa mbali ila damu yake duh. Ilimchanganya sana.
Now ana furaha yuko busy na majukumu yake ya kila siku. Nampenda sana ujue tu.
 
Mwambie a-relax bana, mimi kaka yake namjali sana wala sitokomba mboga yote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom