Nakupenda sana Katavi


mimi sina noma! mwenye kuelewa vibaya aendelee kuelewa vibaya mwenye kuelewa vizuri aendelee kuelewa vizuri! Kwani kupenda ninini?
 
Asante sana Radio Producer, nami pia nashangaa namna avatar inavyopendwa niliwahi ibadili lakini ilibidi niirudishe baada ya baadhi ya membaz kuniomba! Kuhusu michango yangu na ukarimu nadhani nimejifunza humuhumu jf! Asante sana.....
 
dah! katavi hongera kwa kukubalika JF
 
Asante sana Radio Producer, nami pia nashangaa namna avatar inavyopendwa niliwahi ibadili lakini ilibidi niirudishe baada ya baadhi ya membaz kuniomba! Kuhusu michango yangu na ukarimu nadhani nimejifunza humuhumu jf! Asante sana.....

Big up Katavi,nakukubali pia jirani.
 
Hongera katavi. Big up Mkuu. Hiyo avatar yako akiiona mtoto wangu hufurahi sana. Thanks.
 
Dah, hii kali. Nawaachia Katavi na Radio Producer wamaliziane. Hapa mi simo!
 
Hongera katavi. Big up Mkuu. Hiyo avatar yako akiiona mtoto wangu hufurahi sana. Thanks.
Itabidi niiondoe hii avatar maana inaonekana imekuwa kichekesho!
 
Mmmmh
Mapendo mengine bana
 

Nilitaka kuandika hivi ulivyoandika ahsante kwa kunisaidia kuandika nilichofikiri

watu tumwweka mawazo kwenye ngono tu

Kwa jinsi baadhi yetu tunavyofikiria hapa basi itakuwa ngumu kaka kumuambia dada yake wa tumbo mmoja kuwa anampenda sana au baba kumwambia mtoto wake wa kike nakupenda sana mwanangu
huo ni mtazamo
 
Makubwa Katavi naona kama vile sielewi elewi huu upendo.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…