Ndicho hasa kinanichekesha zaidi......watu wako bize...utaona hata wanaume (baadhi yao) wanaitikiwa kibwagizo hicho kwa furaha kabisa hahahahahah huku wengine wanakuwa wameuchuna utadhani wamelazimishwa kucheza ..ukizingatia anaeimbwa ni PDG mhhh.
Mkuu si unajua wabongo? Ana hiari atoe mamilioni kwenye harusi ili aonekane ila mtu huyo huyo mfuate kumuomba msaada kimya kimya kama ata kupa.
Uko sahihiMie nami huwa napenda nyimbo zao lkn yale majina yanayotajwa yanatuchefua wengi!