Nakupenda Mamndenyi....

Nilipokuwa mdogo nikiwa naenda shule nilikuwa nikiingia bafuni siogi,namwaga maji chini halafu baadae najipaka kwenye nywele,mikono ili nionekane nimeoga

ndo maana ulikuwa unanuka sana jasho, katoto ka preimari kananukaaa jasho. mhhhh.... kwanza ulimaliza shule pale kwa komba au ulikuwa full kwenda mlimani km nyani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…