St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,991
- 5,234
- Thread starter
-
- #61
Mr Rocky alikuwa ananizibia riziki zangu mwaya.
kinehe? Naona juhudi zako...nyandone!
Achana naye zilipendwa huyo.....
Arushaone ni mhanga wa mabomu huko kwao tufuatilie manusura yake.
Kimapenzi au Kikaka na dada?
Tena plus
Hebu nihabarishe anaendeleaje huyu mtu..??
mamdeny mimi love you
we unataka nikupendaje,chaguo ni lako
Nakuona hapa chini C6 yombaga guku......
kinehe nhamala mna ng'wanza St. Paka Mweusi? bhanegene bali mhola?
kinehe nhamala mna ng'wanza St. Paka Mweusi? bhanegene bali mhola?
Nilipokuwa mdogo nikiwa naenda shule nilikuwa nikiingia bafuni siogi,namwaga maji chini halafu baadae najipaka kwenye nywele,mikono ili nionekane nimeoga
mamdeny mimi love you
Mh, nasikia harufu ya Ankara.
Hivi unajua kuwa babu yangu aliyekufa 1988 alinirithisha Gobole lake..??