Nakupenda Mamndenyi....

mi sitaki ndoa, labda kama unataka kua kidumu!!


Umenielewa vibaya,kukutongoza naweza kuwa naomba kufanya biashara na wewe.Mfano mdogo tu, ni kama nataka kulisha sherehe ya mdogo wako,si inabidi nikutongoze kwanza ili unipe hiyo deal.Ila bado nampenda Mamndenyi wangu
 
Last edited by a moderator:
umenielewa vibaya,kukutongoza naweza kuwa naomba kufanya biashara na wewe.mfano mdogo tu, ni kama nataka kulisha sherehe ya mdogo wako,si inabidi nikutongoze kwanza ili unipe hiyo deal.ila bado nampenda mamndenyi wangu

haya tenaa, kweli mbaaz ikosapo maua,....ujue mamndenyi ni my mum! Shaurilo
 
Last edited by a moderator:
Huyu mtakatifu ndo mteremko. Yaani talaka inatangazwa tu afu nae anataka kupokea kijiti. Hasubiri hata dada wa watu afanye service na kumwaga oil? Kha!

Ila Mwita Maranya ni ankal wangu lakini ataipata. Shauri yake!


Nisaidie mama....yaani sili,sishibi, silali nakesha wima akili yangu yote imejaa jina la Mamndenyi sometimes kupunguza mawazo napata hii kitu

 
Last edited by a moderator:
Ndiyo huyohuyo Shefa la matoke!


Huwa kila siku ninacheka,mkulima wa Ndizi na wewe unaweza kujitokeza mbele za watu na kujiita Tajiri..?? Na sisi wafanya biashara za Mapetrol tujiiteje...???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…