St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,991
- 5,234
Uamuzi huu nimeuchukua baada ya kusoma post ya Mwita Maranya na ninamuambia kabisa kuwa kisichokuwa na thamani kwako kwa Mungu kina thamani wewe ukisema mke gani wenzio wanamuona anapendeza
Naomba hii aione Filipo.....
Mwache aje tu nitamtoa mkuku kama simjui vile......Ngoja aje mwenekiti
Sasa mkuu St. Paka Mweusi mbona umeni-quote vibaya? au unafanya kusudi ili kumjaza matope Mamndenyi ili akukubali haraka haraka?
Mimi nimekubali kuachana nae lakini kwa shingo upande, sasa wewe jifanye kujua, kitakachokupata usije ukarudi hapa kulialia.
btw, mimi niko tayari kukusaidia kukupigia debe kwa huyo "mshori" ili akutoe upweke.
mwache aje tu nitamtoa mkuku kama simjui vile......
nadhani ni huyohuyo!!
jaman wat wanalipuliwa nyie mnatongozana,lol
Salamaleko kaka....Ina mana tayari anamtoto anaitwa Mndenyi?