Nakupenda lakini umechelewa

SAWA LAKINI HAPA SIO MAHALA SAHIHI PA KULETA STRESS ZENU KUNA JUKWAA LA MAPENZI KULE NADHANI NDIO UNGEPATA MAJIBU MENGI SAHIHI ZAIDI HUKU TUNACHAMBUA MATAMKO YA MAASKOFU WETU KWANZA NA HALI YA SIASA YA NCHI YETU KWA PAMOJA
nashukuru japo umeandika upumbavu
 
Good

Mtoa mada kakataliwa sababu yeye ni kafiri sasa sijajua kosa langu liko wapi hapo ktk comment hiyo

Mimi ni mkristo ambao waislam wanatuita makafiri
basi mrembo nisamehe bure mimi mkosefu
 
sijui ni kwanini hawa watu wa imani tofauti hutuita Kafiri?? ni nene baya baya kabisa my dear furahi kwakua hujamwacha kristo ndio njia ya uzima hakuna njia nyingine itakayompeleka mtu mbinguni tofauti na Kristo
 
ahsante sana dada
 
Hukumpenda wewe na unaendekeza tamaa! Si ungevuta vuta mda kwanza usikilizie!

Papuchi mpya ushasahau kila kitu, asee mwanaume sio babaako kweli!
Jiweke kwenye nafsi yake, ingekua kua ww kweli ungesubiri muda wote huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…