Msukuma anafaudu kwelikweli
Nahisi wenye njaa na kiu ya game meat wamekuwa wengi.Asa, kwa nini tuogope kusema nakupenda?
"msukuma wangu" ndo jina langu la mahaba ninalotumia, ni kama wewe unavyomuita mkeo "honey, sweet etc, wengine hayo yametushinda.
Tena walikuwa wanasafiri kabisa
Kule kwetu walikuwa wanasafiri kwenda malishoni mbali, wanakaa hata miezi
Ila siku wakirudi, ile wanaondoka tu mzazi wa kike anaanza kula ndimu, jamani
Hivi hilo neno lina matatizo gani mtu akikwambia wakati kweli anakupenda kama dada/kaka au babu/bibi??
Kwa hiyo ni kosa nikisema, "nakupenda (I love you) mkubwa mwenzangu @FP"..???
Nahisi nimekwama mahali...lol!!
Babu DC!!
nakupenda kwa mara ya kwanza kutamkwa na mtu, ni wazi kwamba inajibiwa kwa neno 'Asante'. kisha waweza kuongeza vijimaneno kama asante kwa upendo wako kwangu.namna hii humfanya mtu awe na atleast amani ya kupokelewa kwa moyo wa shukurani.
kwa mtu ambaye mmezoeana vile mwenza ama bf asemapo nakupenda ni wazi kwamba wewe unayeambiwa unatakiwa uwe na feelings juu ya upendo wake kwako kwa wakati huo. yaani atamkapo neno ama maneno haya yafungue mlango wako wa fahamu uone unapendwa na kuna mtu anakujali hivyo lazima umjibu 'nami pia nakupendwa mpenzi wangu' namna hii ya majibu huuisha mapenzi na furaha kati yenu.
ahahahhahaahhahahha huyu mkolini wangu huyu ananikosesha mengi mie yailahi!
lol! BAK japokuwa wewe unaninyima updates za dada kubwa ,kamatia hiyo! Kaizer ahahahhahahhahah hatukukosa usingizi bure jana bana!
kitu KABAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAANG! Jiwe Linaloishi nilikwambia mapema uliza maswali ya msingi we ukawa unambwera mbwera tuuu!
haya sasa!
ebaana mwanafunzi wangu enh leo si hamna mpira ,jana uligelezea sana hebu njoo ufanye mek up assignment hakuna kazi hapa tena!itoke wapi sasa!

babu nakukumbusha tuu hapo bold umeandika wewe au?
gfsonwin nakupenda! You're so beautiful! How old are you by the way?
ah mi si ndo mwangalizi wa signature zako babu au!Unaongelea nini wewe mtoto??
Babu DC!!
asante sana kwa upendo wako. Barikiwa.
ah mi si ndo mwangalizi wa signature zako babu au!
sasa hiyo ya hapo juu nilipoqoute uliikosea mara ya tatu hiii!ya taatu!
nyakati tofauti mazingira ni yale yale!
ngoja na mi nianze
Mjukuu DC
asante sana kwa upendo wako. Barikiwa.