ananichanganya babu
i think am in love with her/him
pls help
sana sana wewe wa kiume?unanipenda?
sili silali kaka!my help,
kale kwanza ili upate glucose ya kutosha kichwani...
You are getting towards a dead end tunnel....
Babu dc!!
Warn her, tena warn her kabisa.
Otherwise I smell blood
Tena wanapenda hadi wanakuwa kama vichaa au misukule....
Muulize Kongosho na zombie wake...
Unadhani wale wababu waliokuwa wanasafiri hadi 30km kutafuta nyama, samaki, kuku (mitetea yenye manyoya kama shanga shingoni), matenga ya matunda, mikaa n.k hawakuwa wanawapenda wake zao kweli??
Babu DC!!
nipo ready kufawarn her, tena warn her kabisa.
Otherwise i smell blood
ndiyo maana nikasema mahali kuwa wengine hilo na maneno mengine ya kuazima kama mfano I miss you, darling, bebi, honey...tulishamalizana nayo siku nyingi...
Siku hizi tunaitana majina yetu, na kama mtu ana lake jambo basi analembua sauti....mambo finito!!
Babu DC!!
Mie mdogo naogopa😛eep:
hahaha, mie akiniskia tu namwambia" niambie msukuma wangu", hahaha ananitolea we niambie tu unachotaka kusema, vingenevyo ni full jina lake hakuna cha baba chanja au baba kongosho hapa.
Asante ni kwamba unashukuru kwa upendo wake kwake
ila kwa upande mwingine wewe humpendi
so huna cha kumpa zaidi ya shukrani, ujue kupata mtu anaekupenda kazi sana
Ha ha ha ha ha, jamani
Umenitoa 'udenda', kwa post hii lazima tuonane mahali
Asante wakati anaomba msamaha!Ha ha ha ha ha, umeona eeh
Bora kumjibu asante tu, tena hawa watu wana viranga
Hivi hatuwezi kutangana nao sayari?(Nimepata hasira ghafla)
Tena wanapenda hadi wanakuwa kama vichaa au misukule....
Muulize Kongosho na zombie wake...
Unadhani wale wababu waliokuwa wanasafiri hadi 30km kutafuta nyama, samaki, kuku (mitetea yenye manyoya kama shanga shingoni), matenga ya matunda, mikaa n.k hawakuwa wanawapenda wake zao kweli??
Babu DC!!
Huyu Kaizer atakupoteza kama alivyompoteza @Klorokwin