What is your true colour!so wewe hata kama umeudhika vp hiyo ndio inakufanya walau uone jamaa anajali na siyo kuwa tena mbogo si unajua wanaume akijaribu kufanya hivyo akaona hueleweki anaenda zake kwa small house!ha ha ha inakubidi uwe mpole hata kama hujisikii hivyo
Lakin nampenda ila sasa tatizo simwelewi elewi kabisa niko njia panda lakn pia niko tayari kwa lolote.Simu ni polonium ya mapenzi Ukiitafakari simu na maudhi yake unaachana na mtu ndani ya sekunde 2 Ila bora kuachia ngazi kuliko kukaa na mtu anayekuweka roho juu juu
Mmh, unampotezea Mvaa tai kiupole, ungesema asante tu tukajionea response yake hapa aseme amejisikiaje kujibiwa asante
Mie mgomvi lakini?!
Hiyo inaitwa killing me softly!
Nakubaliana na sarikoki sentensi 'l love you' imepoteza maana hasa kwa waTZ ambao tuna neno moja tu 'nakupenda' likimaanisha both 'love' and 'like'.
Hivi ukimwambia kuwa "I love you too my brother" ndiyo unakuwa umeuza match??
Hapa kweli mie sijaelewa haya maneno!!
Babu DC!!

Liking somebody(wa jinsia tofauti) haihusishi intimacy passion and romance
Loving somebody(wa jinsia tofauti) intimacy, passion na romance vyahusika babu.
Lakini kama mjumbe mmoja alivyohint watu tumechakachua sana maana ya LOVE kiasi kwamba mtu akikuambia l LOVE you it is okay if you wont take it as a big deal kiasi kwamba inachanganya kutofautisha when one means it na when one says it as a means of making you get down your pants!