nikuletee miwaniHaya bwana,
Mie yangu macho...
Babu DC!!
nikuletee miwani
Mjukuu DC
(mweee ila ni kazije saaasa)
ahahahaahahhahahhahaa leo lazima nilale mapema mwee!]jana nililala saa 9 ujue!Mhhhhhhhhhhhhhhhh.........
Nahisi mtuhumiwa yuko safari...
Yaani unashinda na kulala JF??
Babu DC!!
Kwa ufupi ni kwamba wewe humpendi kabisa??
Au umeamua kummnyia tu, badala ya kumwambia aache kujipendekeza??
Babu DC!!
Mkataba huo uko wapi Kongosho?
Mie nautambua mmoja tu katika dunia hii....
Kama unataka kuleta mchezo wa kughushi basi pole sana...lol!!
Babu DC??
unasemaje mdogo wangu?hapa kwenye bold ndo unamkumbusha kuwa hii ni kwadegesma(wapi FP na chipole yake)
NAULIZA TUU!
ahahahhahaahhahahha huyu mkolini wangu huyu ananikosesha mengi mie yailahi!
lol! BAK japokuwa wewe unaninyima updates za dada kubwa ,kamatia hiyo! Kaizer ahahahhahahhahah hatukukosa usingizi bure jana bana!
kitu KABAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAANG! Jiwe Linaloishi nilikwambia mapema uliza maswali ya msingi we ukawa unambwera mbwera tuuu!
haya sasa!
ebaana mwanafunzi wangu enh leo si hamna mpira ,jana uligelezea sana hebu njoo ufanye mek up assignment hakuna kazi hapa tena!itoke wapi sasa!
hivi kwani leo kichwa changu cha moto ama cha baridiiiiiiiiii??
unasemaje mdogo wangu?
Sitaki hongo, umemwaga mboga natamani kumwaga ugali
Kukubembeleza kote kule umemfungukia @FP? kweli moyo wa mzee msitu
Hivi huwa napata kigugumizi kidogo kutoa jibu sahihi.
Mtu anakuambia 'nakupenda', unamjibu 'asante'
wengine huwa wanalalamika kuwa ni 'rude' kujibu asante. Sasa najiuliza jibu sahihi ni lipi?
Je, ni bora kujibu 'nakupenda pia' hata kama si kweli? Huwa naona sio fair kujibu nakupenda kama simaanishi hasa napoona anayesema ana vichembe vya ukweli hata kama ni .0001%
hivi jibu sahihi la nakupenda kama ww humpendi huyo mtu ni lipi? Ili usionekane rude.
(for King'asti only, daym, hivi inawezekana kubalehe wakati wa menopause?)
Sitaki hongo, umemwaga mboga natamani kumwaga ugali
Kukubembeleza kote kule umemfungukia @FP? kweli moyo wa mzee msitu
aahahahhahahahhahahhahhahahahaahha mbavu zangu mie!raha sana!
hii package hii lazima dada mkubwa aipate!
babu umeniumiza moyoni