Nduka
JF-Expert Member
- Dec 3, 2008
- 8,552
- 2,360
Asante Lizzy,mimi sijui watu kwanini hawafanyi tafiti kabla ya ku-generalize na ku-offend wenzao.......unakuta mtu amekuwa na wasichana wake wa bei rahisi wakamchuna hadi basi,then akitoka hapo anakurupuka JF kuongea hayo......get a life and give us a big break........
umechukua pesono sana, hayo ya kufanya risechi yanahitaji mtu mwenye shida zake ki akademiki, huyu anataka tu eksipiriensi za watu, wala isikuofendi kama wewe ni mchaga na hupendi kabisa mkwanja.