Nakupa Siri ya kuwapata wadada wa kichaga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nakupa Siri ya kuwapata wadada wa kichaga

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Msandawe Halisi, Jan 17, 2011.

 1. Msandawe Halisi

  Msandawe Halisi JF-Expert Member

  #1
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Mweekee bajeti ya kiasi cha pesa, muonge mara ya kwanza, ya pili, ya tatu mpaka ya tano. Mara ya sita omba mzigo. Walahii Aruki!!! Ukiingia kwa sound, mtafika kigoma kwa treni na kurudi hata safari mia, akuelewi. Hawa awana moyo wa kupenda, maslai kwanza.
   
 2. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #2
  Jan 17, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Acha kudanganya watu bwana ina maana tunapenda sana pesa kuliko mapenzi??? Mbona thread za wachaga zimekuwa nyingi nini tumekosea??
   
 3. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Na wewe mwenyewe wa Milimani Rombo, Kilema?
   
 4. Msandawe Halisi

  Msandawe Halisi JF-Expert Member

  #4
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Jichunguze kwanza, alafu pigia mstari jibu
   
 5. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #5
  Jan 17, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  lol:smile-big:
   
 6. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #6
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  danganya watu wewe mbona wangu mchaga na kanipenda mwenyewe wala sent yangu sijampa
   
 7. Revolution

  Revolution JF-Expert Member

  #7
  Jan 17, 2011
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 567
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 60
  Wote wako hivyo siku hizi sio wachaga peke yao.....
   
 8. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #8
  Jan 17, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Kwetu kule "Useri" Karibu na ile shule ya sekondari
   
 9. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #9
  Jan 17, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  du ishu kama kula mzigo si bora niende kona bar, nahonga mara moja nakula mzigo chini ya professional
   
 10. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #10
  Jan 17, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Labda hii ndio inasababisha wakinadada wa kichaga wanaolewa zaidi kulinganisha na wale makabila mengine?
   
 11. Msandawe Halisi

  Msandawe Halisi JF-Expert Member

  #11
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Tofauti kati ya kona bar na uchagani ni quality. Mtoto wa kichaga kakulia kwa mtori, maziwa ya ngombe, skin nyororo. Wengi uwa wa ukweli
   
 12. Sokwe Mjanja

  Sokwe Mjanja JF-Expert Member

  #12
  Jan 17, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hiyo ilikuwa zamani za Pontio Pilato! Siku hizi mbona nao siku ya kwanza tu mswanu tu bana
   
 13. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #13
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Mkuu nahisi kama ume-generalize sana na matokeo yake utafanya watu wataka-universalise principle yako chamoto watakiona maana hawa watu huwa wanamsimamo balaa. Nakumbuka kabla ya kuoa kuna mchaga mmoja nilimfuatilia alinitoa mkuku na panga, haelewi cha pesa wala nini..........

  Ila bora hawa wanaokusumbua mpaka uchimbuke mifukoni. Wasandawe noma...hata kama hujaingia mfukoni ukimwambia uko tayari kuingia mfukoni...hata kama mfuko mweupe...yuko tayari
  Dena poleni naona toka mwisho wa mwaka jana jamaa wamewakalia kooni mbaya
   
 14. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #14
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Hahahaaa!!!!!!! Mkuu Sokwe niambie na wagogo vipi???
   
 15. Mabel

  Mabel JF-Expert Member

  #15
  Jan 17, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,018
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mwenye masikio na asikie na asiyeamini nitakalosema afanye utafiti, akishindwa anitafute;
  DAWA YA AKINA DADA WA KICHAGA NI WANAUME/WAKAKA WA KISUKUMA.
   
 16. Sokwe Mjanja

  Sokwe Mjanja JF-Expert Member

  #16
  Jan 17, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Wagogo inategemea umemuotea wapi na gia zako mkuu, ila ndio vile nao, ukikomaa unang'oa mzee festi dei tu
   
 17. Sokwe Mjanja

  Sokwe Mjanja JF-Expert Member

  #17
  Jan 17, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Sababu wasukuma ni wapole na wadada wa kichaga dakika 3 mbele, au?
   
 18. Msandawe Halisi

  Msandawe Halisi JF-Expert Member

  #18
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Wasandawe wameubwa na moyo wa upendo kama wabantu wengi walivyo.
   
 19. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #19
  Jan 17, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Hao unawapata kwa kilo ya nyama
   
 20. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #20
  Jan 17, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Naona kama kuna kaukweli hapo.............
   
Loading...