Nakumbuka.........

Jaman mie enzi za Bongoman ndio nilikua natambua mambo ya mziki,mama yangu alikua ananifunga kitamba kiunon na kunifundisha kukata mauno na mwendo wa kwasa kwasa lol!na mie wa enzi atiii!

Acha kabisa mwanakwetu, watu tumeunguza mno mboga hapo kwa ajili ya kukata mauno!! Tena kama siku za sikukuu ndo kama mashindano vile, mradi upewe kachenji ka kwenda kutembelea au unaongezea alafu unaenda photo studio kupiga picha.....lol!!!
 
Muzina ilikuja kutoka baadae sana tena ilitoka pamoja na dede ya zaiko langa langa wakati kina bongoman wameanza kupotea.

Na hapa napo kulikuwa na vitu, mnakumbuka wimbo wa messenger kaleta balaa nafikiri walikuwa bima lee wale
 
Acha kabisa mwanakwetu, watu tumeunguza mno mboga hapo kwa ajili ya kukata mauno!! Tena kama siku za sikukuu ndo kama mashindano vile, mradi upewe kachenji ka kwenda kutembelea au unaongezea alafu unaenda photo studio kupiga picha.....lol!!!
Kuliwahi kutokea kikatuni kimoja maarufu sana kilikuwa kinaitwa Joyce wo wo wo, nakumbuka pale mwenge ndo yalikuwa maskani yake kilikuwa kinacheza Inde monie na isambe balaa.....mauno ya kufa mtu
 
Hivi hii michezo ilishapotelea wapi jamani?? Dah.....joyce wowowo alikuwa akichezeshwa pale si mauno yale aisee!
 
Awamu yake iliisha maana nakumbuka mlikuwa mnachangia mpaka ikifika mia mbili anaanza kukata mauno balaa
 
nakumbukaaa kina trece maa ''not by nature" jamboriiiii...nakumbukaa kipindi cha kina mc hammer,marehemu HEAVY D,TLC kunaa dadaa alikuwa anaitwa left eyes nilikuwaa na mkubaliii,KINA DA BRAT,MC LIGHT...UKIRUDI KWENYE KUNDI KUNA COOL & GANG,kwa wa R&B kunaa chalii alikuwa anaitwa celvin tempall,warrey n g,...na kunaa kundi waliimbaa wimbo ''i swear..by the moon and the star in the sky,i swear................."
 
Dah umemsahau Queen Latifah na Lil Kim hapo, wale TLC ndio walikuwa Tiboz, lisa lopez aka Left eye na Chili unakumbuka wimbo wa Unpretty? Halafu kulikuwa na SWV (sisters with voices), Blaque na wale walioimba i swear walikuwa wanaitwa All 4 One, halafu kulikuwa na Soul 4 Real, Az Yet na mengine kibao.

Dah nakumbuka enzi hizo kama we ni mpenzi wa soul na blues lazima uwe na tape ya Tevin Campbell asee. Hii ilikuwa kabla ya Aaaliyah na Brandy hawajaibuka......i wanna be down" na baadae The boy is mine
 
weee mkariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii nimekubaliiiiii.

mie foetus, sijaota hata hayo mambo yenu ya jinsia.

Ingekuwa enzi za pureimari kulikuwa na mtindo wa kuoneshana.
Mara ya kijani, mara bluu mradi fujo tu.
:) :)
Mh thats very very abnormal sema tukuchangie upelekwe india
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom