Nyalotsi
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 6,989
- 5,069
Kulikuwa na malecturer wakija lecture theatre wanawauliza, HIVI NYIE WOTE MNATAKA KUITWA GRADUATES??? Kwenu hakuna mashamba? Haiwezekani! Lazima wengine mpungue!! Anawafundisha kidogo aafu anaondoka. Najua kuna wengine wako humu, hivi huu ubabe ulikuwa wa nini? Hivi watoto wenu wangekuwa humo darasani mngekuwa mnatishia hivi?