Nakula bata... doli doliiiii....

Nakula bata... doli doliiiii....

JosephElly

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2012
Posts
2,432
Reaction score
1,035
Jamaa mmoja alikuwa na mpenzi wake mwanachuo. Binti ikawa amefika mahali amemchoka jamaa kwa
hiyo akamtumia barua kwamba waachane na ili kuonyesha msisitizo akaituma barua ikiwa na picha
yake na mshikaji mwingine wakiwa mahali wanastarehe tena picha ya laana kabisa. Jamaa alivyoipokea
barua roho ikamuuma sana. Akaichukua ile picha ya binti akistarehe na jamaa mwingine akaiweka
kwenye bahasha akaifowadi kwa wazazi wa binti akijifanya yeye ndo binti. Akaandika: nakula bata
nitakavyo, wazee fanyeni mpango mnitumie hela zaidi za matumizi.
 
Hahaha huyo kaka kamliza kabisa tit for tat fair game chezea kuachwa kibuti hahahhaha halooo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Du Jamaa alicheza kinoma!huyo demu atakula jeuri yake na maisha ya versy yalvo magumu! labda ka yupo UDOM. si kuna wazee wa cash[wabunge]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom