ni wazi kusahau ni kitu mbaya sana.
Alie kua anapinga maridhiano alikua akitamani Freeman Aikael Mbowe aendelee kusota korokoroni wakati ule, si ndio huyu mwenyekiti wa Chadema sasa hivi ndugu zangu wadau?
Lakini hiyo haikutosha,
pamoja na fadhila zote za Mbowe kwa huyo muungwana mathalani za chakula alizomkirimia mwenyekiti wa Chadema Taifa wa sasa, bado Mbowe aliishia kutwezwa utu wake na familia yake, kuitwa mlamba asali, kuitwa mla rushwa, lakini pia kuna wakati kiongozi huyu aliwahi kuropoka kwamba haendi tena kwenda kupiga msosi kwa mbowe kwani anaweza kumuwekea sumu kwenye chakula kiongozi huyu mpya wa Chadema ambae hakua na mahali pakula chakula alipotoka uhamishoni huko ughaibuni. Na mara zote Mbowe alikaa kimya tu.
Haya,
kulikoni tena leo mayowe na makelele dhidi ya Mbowe hali ya kua anaendelea na shughuli zake biashara zake kimya kimya? Na wengine si waendelee na mambo yao ya uongozi wa chama kwa uhuru wajemeni?
Si alidai mbowe kamtuma wenje apambane nae umakamu mwenyekiti wa Chadema Taifa?
Si amepata uenyekiti wa chadema Taifa? Si aendelee na kazi sasa bila kua na chuki binafsi dhidi ya wengine?
Si kila mtu afanye kazi yake bila kusumbua mwingine gentleman?🐒