Maswa Yetu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2023
- 1,399
- 2,601
- Thread starter
- #21
Kukemea watu wasitekwe ni kuhujumu uongozi wa Chadema?Gentleman,
endapo itafanyika hivyo, itakua ni kuhujumu uongozi mpya wa Chadema Taifa uliopo.
Ikiwa chadema ina haja na hilo, basi imfuate Mbowe kwa heshima na kumuoamba awajibikie hilo, huo ndio ustaarabu š