Nakukemea Albert Chalamila, achana na Cocobeach

Nakukemea Albert Chalamila, achana na Cocobeach

Mkuu wa mkoa wa Dares salaam Mh Albert Chalamila akiwa kwenye kikao cha ndani cha mkoa amesikika akilaani eneo la Cocobeach kuachwa wazi kwa ajili ya wananchi wote kutembelea bure kila wanapohitaji kufanya hivyo.

Chalamila amesema eneo la Cocobeach linahitaji uwekezaji mzito na wa kisasa.

Chalamila namkemea kutokana na wazo lake hilo kwa sababu hajatuambia kama hilo eneo likiwa la kulipia hao wananchi masikini wasio na hela ya kuingia Beach atawapeleka wapi.

Mh Chalamila ajue pia Tanzania ina eneo kubwa la bahari kwa ajili ya kujenga beach za kisasa anazozitaka hivyo siyo lazima ang'ang'anie kwenye eneo la wazi la Cocobeach.
Katumwa huyo usimlaumu
 
Ni kweli. Mwenye wajibu wa kuitunza na kuhakikisha usalama ni manispaa. Mbona beach maarufu kama Copacabana wanaweza?

Na nani ana wajibu wa ku control hao beach boys? Nani anatoa vibali kwa hao wauzaji omba omba? Ukiangalia beach zote maarufu haziruhusu biashara holela holela. Kitu ninachokubaliana na Chalamila ni umuhimu wa uwazi. Kuruhusu migahawa, vibanda, majengo ya ibada n.k. yanayozuia beach kuonekana kutoka barabarani ni makosa makubwa. Kunatakiwa kuwa na lifeguards ambao watahakikisha usalama wa wanaogelea sio kuwaachia beach boys kufanya kazi hiyo.

Inategemea aina ya uboreshaji. Kuhusu kipindupindu angalau unaona namna hiyo mihogo inavyotengenezwa kuliko kuletewa tu mezani bila kujua jikoni kukoje. Ila mambo ya kukaanga mihogo, samaki beach ni hatari kwa usalama wa watu na mazingira (moto, moshi, majivu n.k.) na inabidi yawe controlled.

Beach nyingi Dar hazifikiki kirahisi kwa sababu Manispaa zimegawa viwanja vinavyopakana na beach hivyo vinavyozuia mtu kufika beach kirahisi. Coco beach imepakana na barabara hivyo ni rahisi kufikiwa na kila mtu.

Manispaa izuie uendeshaji wa magari na pikipiki beach. Manispaa iongeze patrol za polisi katika eneo hilo. Na zifungue beach nyingine ziwe wazi kama Coco beach.

Amandla...
Beach nyingi ni mpaka uingilie hotelini au private property ili kuifikia fukwe tofauti na coco beach ambapo ukitokea barabarani tu una access na beach.

Coco Beach Imekuwepo kwa miaka mingi kiasi kwamba imekuwa ni beach pendwa kwa wananchi tokea maeneo mbalimbali ya mji na hata mikoani sababu iko accessible kuliko beach nyingine.

Nachokiona idea ni kutaka kuipora Coco kwa wananchi ili wapafanye executive na kuanza kubagua watu. Serikali isiojali raia wa hali ya chini once again. Hapo inatafutwa sababu pafungwe fence na watu kuanza kutozwa viingilio ili kuumiza watu tu.
 
Nakubaliana na wewe.
Amandla...
 
Ishauzwa mpala hapo mnapewa taarifa tu mjiandae kutafuta hela.
 
Njaa tumboni.
Muhindi akija na milioni 800, eneo la wazi watu wa ardhi wanauza na kubadilisha mchoro. Kariakoo unatembea kilomita mbili hukuti hata sehemu ya kukaa. Vifremu mwanzo mwisho. Pathetic
Moto ukianza ghorofa moja unaweza kuteketeza mtaa mzima
we mbwa jike unajua historia ya kariakoo?
 
Kama vile wafanyavyo wakenya kwenye maandamano na wizi wa mali za wenzao ndio kutambua haki zao, basi wacha tu nibaki zangu rwanda tu,

Kuna aliejenga airport porini naye alikuwa muislamu?
Mbona upande ule ndio wafujaji wakubwa na mafisadi?

Wakenya wakipata rais muislam shida zote zitaisha
Huwezi comment bila kuleta udini mkuu HII NDO CHANZO CHA MATATIZO ya watanzania HUYU WA SASA ni dini GANI amepunguza MATATIZO GANI au kaongeza mzigo
 
Jf kuna chuki moja kubwa sana juu ya uislam..
Nilikuwa na marafiki wengi wa kikristo lakini kupitia jf ndo nimegundua namna gani huenda hata marafiki zangu wa chuki za siri bila mimi kujua.
Hii inapelekea kuanza kuwaepuka.
Kazungumza Chalamila mtu anatoa shutma kwa waislam.
Hawa wenye chuki wewe tu angalia baadhi ya michango yao humu JamiiForums. Mada za kipumbavu pumbavu (uzinzi, pombe, kamari n.k) ndio wachangiaji wakuu. Hapo unajua ni aina gani ya watu una deal nao (ni mashetani/mapepo) wenye umbo la binadamu.
 
Kama vile wafanyavyo wakenya kwenye maandamano na wizi wa mali za wenzao ndio kutambua haki zao, basi wacha tu nibaki zangu rwanda tu,

Kuna aliejenga airport porini naye alikuwa muislamu?
Mbona upande ule ndio wafujaji wakubwa na mafisadi?

Wakenya wakipata rais muislam shida zote zitaisha
Heri ya huyo aliyejenga airport porini maana sio miaka yote pataendelea kuwa porini(japo kihalisia sio porini kama unavyopaita), ipo siku population itakuwa na hiyo airport itahitajika kwa shughuli za kiuchumi na jamii.

Haya njoo kwa nyie wavaa kobazi tukianza na mzee wa ruksa ambaye aliruhusu mpaka ujambazi ilimradi tu usikamatwe, kisha njoo kwa mzee wa msoga ambaye aliamua kuwapa wachina uwekezaji wa gesi wa kudumu kule Mtwara hili tu mtoto wake aliyekamatwa na madawa ya kulevya kule China asinyongwe....

...kisha funga kazi njoo kwa Bi maushungi ambaye ndio hana haya kabisa kwa mambo anayoyafanya tukiachana na tu na kuuuza na kuzidalalia rasilimali za Tanganyika, ila tukio la kuwanyang'anya wamasai aridhi yao ya asili na kisha kuwapa wajomba zake wa uarabuni ni ushetani wa hali ya juu, na limemuonesha kuwa ni adui mkubwa wa tanganyika na ana wachukia sana watanganyika.

Kwa ufupi tu nyie waislamu kuongoza nchi hamuwezi zaidi ya kufanya anasa,kuuza rasilimali na kulea mafisadi na wizi serikalini na hamnaga uzalendo hata chembe, na hata wakristo wanaozikubali tawala zenu ni kwa sababu mnawaruhusu kuiba bila kuwadhibiti.

Kenya kamwe hawawezi kuongozwa na raisi muislamu hata dunia izaliwe upya, maana wanajielewa na hawako tayari kuona taifa lao linaingia shimoni kwa rasilimali zao kuuzwa.
 
SIKU KENYA WAKIPATA RAIS MUISLAM, SHIDA ZOTE ZITAISHA NA WATAISHI KWA AMANI KAMA WAPO PEPONI,

Hata hapa Tanzania hatuhitaji tena rais mkiristo, kwani ni wabinafsi, mafisadi,wachoyo, mahasidi, roho mbaya, wauwaji, wabaguzi wa dini, wauzaji inchi kwa wazungu na kila baya ulijualo huletwa na marais wakristo na ndio wenye kibri na dharau na kuua maendeleo ya inchi,

Kila utawala wa mkiristo inchi hii hurudi nyuma kwa miaka kumi na anapoingia muislam huanza tena kuinuka na kun'gara,

Hongereni sana MZEE MWINYI, MZEE KIKWETE NA MAMA SAMIA kwa kazi tukufu mliyoifanya na inayoendelea kufanyika sasa,

"Ada ya mja ni kusema, muungwana ni vitendo"

Nyinyi chongeniiii, sisi tunatenda tu
 
Huwezi comment bila kuleta udini mkuu HII NDO CHANZO CHA MATATIZO ya watanzania HUYU WA SASA ni dini GANI amepunguza MATATIZO GANI au kaongeza mzigo
Ukiona nimeongelea udini ujue kuna alieanza, otherwise hayana faida yeyote zaidi ya kutukanana tu,

Fuatilia tu huu uzi hapo juu utaona nani alianza
 
Back
Top Bottom