Inasikitisha sanaHIVI marehemu Mr chato SI aliwaka vibaya KISA kuliwekezesha HILO eneo JAMAA wamerudi TENA DAH maskini wenzangu nmejikuta nawawzia TU HADI wauza mihogo watapigwa wanted HAPO nikukimbilia kimbiji nawajua wabongo kwa VYA Bure huvifata popote
Waheshimiwa hata huwa hawaendipo WAO Dubai na ulaya LAKIN BADO wanaona tunafaidi maskini ya munguInasikitisha sana
Mwarabu alitaka kuzungushia ukuta kama uwanja wapira pawe maliyake🤣Ngome ya nini?
...na kuhuzunisha.Inasikitisha sana
Kwa jinsi baadhi ya viongozi walivyo na Tamaa wanauza kila kitu wanachokionaKama kariakoo hakuna hata bustani uchwara ya kupumzika. Maeneo yote wameuza
kujenga uwanja wa ndege chato kuna tatizo gani? chato ipo kenya?Lakini Jiwe akaenda kujenda uwanja wa ndege Chato. Wote ni wapigaji tu.
Duuuu kuna watu wabishiMwarabu alitaka kuzungushia ukuta kama uwanja wapira pawe maliyake🤣
Huko kuna beach kimbaKule Kimbiji kuna fukwe safi tena zenye mchanga mweupe, kwa nini asiendeleze huko? Au Kigamboni haiko Dar es salaam ? 😳 Ni Coco beach tu? Vipi Msasani peninsula kwa mfano ? Think 🧐
🤣🤣Huko kuna beach kimba
Ova
Beach matata sana, niliwahi kubarizi sana maeneo hayo mwaka '83. Perfecto 👌Huko kuna beach kimba
Ova
Ni ukweli mtupuTanzania inaharibiwana washamba wakuja,
Waliokuja mjini kwa mbio za mwenge
Inasikitisha sanaCoco beach imeshauzwa na Samia Kwa mjomba wake wa Dubai anayemiliki DP WORLD.Chalamila alijiongelesha tu ili kuwaandaa wananchi kisaikolojia
Chalamila ameapa kuyauzaHayo maeneo ya bure wasiuze, wayaboreshe tu wananchi wapunguze mawazo huko.
Open space pia ziwe nyingi, mji una stress huu jaman
Njaa imetamalaki na ubinafsiKwa jinsi baadhi ya viongozi walivyo na Tamaa wanauza kila kitu wanachokiona
Hawa hata Ikulu wanaweza kuiuza
Viongozi wote wawe wa Dini au serikali basi wote ni wa moja na hawajali
Mzungu alipanga miji na akaacha sehemu nyingi za wazi wakijua yatatumika kwa watoto na hata wakubwa
Lakini waroho wameuza kila kitu
Kuanzia bustani, sehemu za michezo shuleni na public places, hata maeneo mengi ya ibada wameuza walioyakuta tena kwa thamani ndogo sana
Leo wengi wamekufa na laana juu
Kama vile wafanyavyo wakenya kwenye maandamano na wizi wa mali za wenzao ndio kutambua haki zao, basi wacha tu nibaki zangu rwanda tu,kwa sababu wale ni watu wanaotambua haki zao na wanafanya vile kuishinikiza serikali yao itimize wajibu wao
Ipo porinikujenga uwanja wa ndege chato kuna tatizo gani? chato ipo kenya?