Raha gani hizo watakayoletewa na huyo raisi muislamu?? Kama hizi tunazoshuudia hapa kutoka kwa huyu bi chura wa kizanzibari??Siku wakenya wakipata rais muislam wataanza kuona raha ya maisha na amani tele, kwasasa acha waendelee kutaabika tu
Hizo vurugu unazozionaga huko kwao ni kwa sababu wale ni watu wanaotambua haki zao na wanafanya vile kuishinikiza serikali yao itimize wajibu wao.
Niamini mimi muislamu akiitawala Kenya hata awamu moja hawezi kumaliza, kwa sababu....
....Hakuna kitu wavaa kobazi wanaweza linapokuja suala la uongozi zaidi ya kula bata tu wao na syndicates zao huku wakiacha majority wakitaabika.