Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,686
Wakati nikiwa fomu six Old Moshi mwaka 1964, DC alikuwa Minaki sekandari fom foo. Nadhani ushajua nani mkubwa.nitafurahi kukutana na babu dc na babu odm,nataka kuona nani mzee zaidi,kichwani naamini babu dc amekula chumvi magunia mengi zaidi!
Hahahaha!Kongosho kama utapenda tukutane appointment yetu itakuwa kituo chochote cha polisi kwa ajili ya usalama wangu!hautabiriki wewe!lol!
Afu wewe kuna kitu umenidanganya niko kwenye hatua za mwisho kuhakikisha huo udanganyifu.., ole wako nikukamate..Wakati nikiwa fomu six Old Moshi mwaka 1964, DC alikuwa Minaki sekandari fom foo. Nadhani ushajua nani mkubwa.
Karibu sana Boko Basihaya kaunta ya juu
Mhudumu anaitwa Joyce nitakuzawadia.
tumehama!
Unakuja na usafiri gani? Kama unakuja na ndege nitakuja airport tuonane.
Karibbu sana nakuandalia kigoli wa kukupa kampani hapa na pale
Umehakikisha kuwa umelipa kodi ya nyumba maana ile notice inaisha mwezi huu wa tatu
Nani alikuambia hao wote unaotaka kuwaona wako dar??inawezekana wako hata nje ya nchi...Sasa kwanini usisubiri mpaka upige kura jumapili???
kodi zote,ya nyumba na ya ofisi nishalipa mkuu!haina shida mkuu!