Nakosea wapi katika ku-bypass FRP Nokia 1 without PC?

gm man

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2017
Posts
1,177
Reaction score
1,456
Wakuu,

Tokea jana nimekuwa nikijaribu tutorial za YouTube jinsi ya ku-bypass FRP katika Nokia 1.

Lakini kuna sehemu nafika ambayo yule wa kwenye tutorial inampeleka direct kwenye Google Chrome halafu mimi simu yangu inanipeleka kwenye apps.

Kwenye hiyo picha hapo chini kuna option imeandikwa tap to go to application settings ambapo mimi nikiibonyeza inanipeleka kwenye apps wakati jamaa wa tutorial inampeleka direct kwenye Chrome browser.

Je nakosea wapi? Naomba msaada.

IMG_20200115_185507.jpeg
1579104458147.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Peleka kwa fundi kama imeshindikana kwa tutorial za Youtube
 
Hongera sana mkuu,unajitahidi sana ila endelea kujaribu option nyingine hadi kieleweke...
Haya mambo wenzako tunakaa darasani kwa kusoma kwa miaka kadhaa..
Hatua za mwanzo umefata vizuri kuweka sim card yenye majina na kuunganisha Wi-Fi ?
 
Mkuu Ulikaa Darasa Gan Miaka Kadhaa Kujifunza Ku Bypass Frp?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera sana mkuu,unajitahidi sana ila endelea kujaribu option nyingine hadi kieleweke...
Haya mambo wenzako tunakaa darasani kwa kusoma kwa miaka kadhaa..
Hatua za mwanzo umefata vizuri kuweka sim card yenye majina na kuunganisha Wi-Fi ?
Mkuu sijaweka SIM card yoyote.. Kuhusu kuunganisha Wi-Fi haikuwa na shida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu,

Tokea jana nimekuwa nikijaribu tutorial za YouTube jinsi ya ku-bypass FRP katika Nokia 1.

Lakini kuna sehemu nafika ambayo yule wa kwenye tutorial inampeleka direct kwenye Google Chrome halafu mimi simu yangu inanipeleka kwenye apps.

Kwenye hiyo picha hapo chini kuna option imeandikwa tap to go to application settings ambapo mimi nikiibonyeza inanipeleka kwenye apps wakati jamaa wa tutorial inampeleka direct kwenye Chrome browser.

Je nakosea wapi? Naomba msaada.

View attachment 1324312View attachment 1324321

Sent using Jamii Forums mobile app
Kupitia kwenye apps tafuta app inayoitwa Google utaweza kufikia kwenye browser.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo kila simu waweza by pass frp kwa sababu ya strong security njia rahisi ni kutumia device tu nck pro, miracle etc .

Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
 
Mkuu Mgumu04
Naomba unisaidie juu ya miracle box
Mm natumia windows 10...nikiinstall af nkiopeni miracle box inaniambia can't reach miracle box.. Je tatizo ni nn??
Au ni miracle box gani iko compatible na windows 10??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unstall miracle drivers restart ur PC then install miracle box driver's
Mkuu Mgumu04
Naomba unisaidie juu ya miracle box
Mm natumia windows 10...nikiinstall af nkiopeni miracle box inaniambia can't reach miracle box.. Je tatizo ni nn??
Au ni miracle box gani iko compatible na windows 10??

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
 
Huko kwenye tuturio jaribu pia kusoma na comments za wadau ktk video hiyo.
Yamkini ukakutana na comments ya mtu aliyejaribu na kushindwa kama ww,watalaamu sio wachoyo issue itakua solved.
Kula la kheri.
 
Back
Top Bottom