Darlin
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 4,818
- 10,710
Kwanini usiwe wewe??
Me siko lonely mkuu
Kwanini usiwe wewe??
Sawa haina shida mkuu.Me siko lonely mkuu
Amefunga PM. Kuna vijana washaniwahi.Wahi chap kamfariji mtoto mzuri
Niko kwenye late 20'sUna miaka mingapi?
Amefunga PM. Kuna vijana washaniwahi.
Niko kwenye late 20's
Pole Sana Kwa changamoto za kimaisha , Ila Kwa kweli hakuna mwanadamu anaweza kukufariji Kwa asilimia 100 Kwa sababu tuna madhahifu tunachoka, tunapenda pia tunachukia hivyo kupata Faraja ya kweli mdogo wangu nakushauri tengeneza mahusiano yako na Yesu binafsi na uwe rafiki yake , mweleze shida zako madhahifu yako yetu Yeye anajua namna ya kukusaidia na kukufarijiHabari zenu Mimi Nina au ni nini hiki napitia
Iko hivi nakosa mtu wa kua msiri wangu
Nakosa mtu wa kumwambia mapito yangu ambae atanishauri na kunisaidia niweze kisonga mbele hali inayonifanya niwenyonge na mpweke muda mwingi
Nikiwa na shida nikijaribu kumuelezea mtu wangu wa karibu ananiacha na kunitenga nakaa hapo kwenye mapito yangu mwenyewe
Nikiwa na hali nzuri wananipigia simu wananiomba pesa wananisumbua sana kwa simu za salamu.
Nifanyaje niweze kupata watu sahihi hata mmoja tu anisaidie na Mimi aniliwaze aniambie haya yatakwisha ni kipindi cha muda why me jaman mbona sipati LOVE
Nimechoka jamniiii nahitaji kupendwa na Mimi nithaminiwe.
Naomba unifundishe jinsi ya kuongea na nafsi yangu au jinsi ya ku meditateDunia haitaki watu laini, labda vitu laini! Kama unahitaji rafiki wa kweli wa kupiga nae mastori na kupeana nae maujanja! Basi jifunze namna ya kuongea na nafsi yako! Itakupa michoro yote, mida ya kuanzia saa 8-11 alfajiri, utapiga story na kilicho ndani mwako, utapewa siri nyingi na utakuwa ni mwenye furaha! Hapa duniani hatupo kwa ajili ya kupeana faraja Mkuu, kila Mtu ana Mission yake, ikitokea ukajihidi una match na yeyote ujue iko namna una faida ama unatumika na huyo Mtu, sote tupo kwa ajili ya challenges, na ukijiona unaishi na furaha sana watu wako happy na wewe ujue wanakutumia kwa mission zao! Hakuna Muda wa ku relax, labda iwe kwa ajili ya kujipanga na mission zako! Usililie kupendwa dogo! Wa kukupenda wewe ni wewe Mwenyewe. Jifunze ama tafta namna yoyote ya kuongea na nafsi alafu vingine vitakuja vyenyewe na usisahahu kila kitakachokuja ktk maisha yako kina pande mbili, nzuri na Mbaya, chochote kile! Kipokee malizana nacho kisha anza kingine, huna haki miliki ya kujimilikisha furaha, iache Nature ifanye kazi yake! Kuna wakati Miti inaweza kufurahia uwepo wako ama wanyama, na wakati huo huo wanadamu wenzako hawaoni umuhimu wako.
umeona chuma kwanzaa mzedKama Ke mcheki National Anthem
Kama ni mwislamu?Pole sana,
Kama Mkristo, fanya Ibada...
Anza kwa kuomba Toba na rehema kwako na familia yako maana naiona Roho ya kukataliwa..