CONTRARIAN
JF-Expert Member
- Jun 21, 2023
- 983
- 3,183
Mkuu Hembu Weka uhusiano wa mchicha mwiba uliosema na Hali yake,Kama wewe ni me, basi ni certified mchicha mwiba✅
Vinaingilianaje? BTW nahisi huyu ni KE, Binafsi kuna majina Hata kama ndio sio halisi lakini likikaa ki soft soft naamini tuu huyu ni KE,
Mwanaume unakua na Jina limekaa kigumu gumu.