Habari zenu Mimi Nina au ni nini hiki napitia
Iko hivi nakosa mtu wa kuwa msiri wangu
Nakosa mtu wa kumwambia mapito yangu ambae atanishauri na kunisaidia niweze kisonga mbele hali inayonifanya niwe mnyonge na mpweke muda mwingi.
Nikiwa na shida nikijaribu kumuelezea mtu wangu wa karibu ananiacha na kunitenga nakaa hapo kwenye mapito yangu mwenyewe.
Nikiwa na hali nzuri wananipigia simu wananiomba pesa wananisumbua sana kwa simu za salamu.
Nifanyaje niweze kupata watu sahihi hata mmoja tu anisaidie na Mimi aniliwaze aniambie haya yatakwisha ni kipindi cha muda why me jaman mbona sipati LOVE
Nimechoka jamniiii nahitaji kupendwa na Mimi nithaminiwe.