Nakosa mtu wa kuzungumza naye

Nakosa mtu wa kuzungumza naye

Yaani nimekuja speed nikajua ni yule mdada anaesambaza likes wa kuitwa leejay fote nai
 
Usiombe uwe na depression .. kila kitu unaona unaonewa tu.. pole dear
 
Wewe unatofautiana na mimi kidogo, mimi huwa najiona hakuna mtu mbele yangu.

Yaani kila nikijaribu kutafuta faraja kwa watu huwa nakuwa disappointed, yaani nikimueleza mtu shida zangu huwa naona kama nimejidhalilisha bure, halafu hakuna kilichobadilika.

Yaani najilaumu

Baada ya kugundua ninachokitaka hakipo kwa watu, hii imenifanya niwestrong na kujitegemea mwenyewe zaidi kimawazo.

Japo huwa naomba ushauri kwa mambo mbalimbali, ila sio kwa kutafuta faraja, bali kubalance ninachokifikiria.

So may be you are strong zaidi ya unavyojichukulia.

Mimi sasahivi najiona ndiye ninaetakiwa kuwasaidia wengine kimawazo.
 
msaidieni mdada mwenzenu bana
Cha kumshauri ni ajiamini na ajipende maana yeye peke yake ndio anaweza kujipatia hayo anayoyatafuta.
Asiamini sana watu, furaha ya kweli huanzia ndani mwa mtu.

Watu watatake advantage ya shida zake mwisho wa siku watamletea huzuni zaidi.

Pia Asitegemee sana watu, hua wana disappoint.

Asali kwa imani yake akiamini with time kila kitu kitakua sawa.
 
Habari zenu Mimi Nina au ni nini hiki napitia
Iko hivi nakosa mtu wa kua msiri wangu

Nakosa mtu wa kumwambia mapito yangu ambae atanishauri na kunisaidia niweze kisonga mbele hali inayonifanya niwenyonge na mpweke muda mwingi...
Hebu nitafute mrembo kwani nini shida
 
Back
Top Bottom