Nakodisha Line za uwakala wa mitandao ya simu

Tupeni ukweli wa mambi nyie wenye uzoefu tuangalie jinsi ya kuwakwamua Mama zetu
Hizo line hazina gharama kivile. Shida iko kwenye vigezo vya kuzipata kwa njia halali.

Ni lazima uwe na leseni ya biashara na pia TIN kutoka TRA ya kuonesha wewe ni mlipa kodi! Na kumbuka tu huko kote lazima uliwe hela kulingana na eneo utakapofanyia biashara.
 
Yeah, leseni ya biashara lazima ulipie, ni utaratibu wa nchi
 
Nilikuwa na ofisi yangu ya Uwakala wa fedha kwa mitandao ya simu lakin bahati mbaya nimefulia na line zipo ila sizifanyii kazi.

Kiukweli sina mpango wa kuzitumia hizi line tena.

Kama unazihitaji tunaweza kuingia makubaliano/Mkataba ili kuwe na usalama kwako na kwangu pia.

Line nilizonazo ni Mpesa, AirtelMoney, Halopesa na TigoPesa(Yas).

Nina Lipa namba pia ya Tigo, Mpesa na Airtel.

Line zote zimesajiliwa kwa Majina yangu namimi ndio mmiliki halali wa hizo line.

Kama unazihitaji hizi Lines naomba uje PM ili tuzungumze biashara.

ASANTE.

NB; NINGEPENDA NIKUKODISHE KWA MWAKA MMOJA NA ZAIDI ILI UWE NA WASAA MZURI WA KUFANYA KAZI.

jela inakuhusu....
 
Kaka nichek 0616992338
 
Mkuu uko mkoa gani na je location ya ulipokua unafnyia biashara unaionaje kwa biashara? Kama patakua vzr nizichukue line lkn kwa msharti ya kukodishiwa na eneo la biashara kabisa
 
Hilo tangazo hua lipo kila mwaka, lakini ukifika katika shop zao hali ni tofauti. Hilo ndo swali langu mkuu
Hata kwenye shop zao ni bure ila masharti mengi (leseni ya biashara, tin, nida etc) na bado utatakiwa kusubiri line siku kama si miezi kadhaa ndomana watu wanatafuta shortcut mitaani.
 
Back
Top Bottom