Nakerwa na wananchi wa Kanda ya Ziwa

Nakerwa na wananchi wa Kanda ya Ziwa

Basi wakulaumiwa ni Nyerere kwa nini akujenga chuo kikuu Mwanza.

Hivi wewe ni huyu Ritz aliyesababisha nchi yetu ikawekwa rehani kwa Wachina? Au ni nani? Kama ni wewe bora ungenyamaza kwani Watanzania watakunyonga muda si mrefu,hamuwezi kufanya nchi hii mali ya familia

Hivi ungenyongwa China ingekuwa hasara kwa nani? Kwanini muiingize nchi kwenye madeni yasiyoeleweka eti tu sababu ya upumbavu wako,baba yako kawauzia Wachina Mtwara na Lindi wanatusaidia nini? Sio muda mrefu mwambie baba yako aombe aingue asiyemfahamu mtawala vinginevyo ondokeni mapema TUTAWACHINJA mafisadi wakubwa
 
Hii ni ishara kwamba sasa chadema wameshaanza kupoteza matumaini ya kutwaa dola kama walivyokuwa wakiota ndoto zao za alinacha. Sasa wanataka kuigawa nchi. Tanzania itabakia kama ilivyo na siijui sana mwanza na shinyanga lakini tabora na kigoma nazijua vizuri sana. Tabora na kigoma haziwezi kuwa siyo sehemu ya tanzania. Infwakti, sisi wanadarisalama tuna historia na Kigoma na Tabora ya zaidi ya miaka 300. Historia yetu na ukanda wa chadema haifiki hata miaka 70. Hivi mnasubiri nini kujiunga na wakikuyu wenzenu? Rais wenu Uhuru juzi ameshinda uchaguzi kwenu huko...
MBona kanda zipo tu tangu zamani kwenye mambo mengi tuu ,Wagonjwa wanapata huduma za kitabibu kwa ujuzi zaidi kikanda,chanjo zinaenda kikanda,kilimo kwanza kikanda mpaka kuna the big five,Simu kikanda ,Radio Tanzania (TBC1) Kikanda,digit kikanda ajabu nini munapindisha ukweli ilikueneza propaganda kuridhisha nia zenu ovu
 
Tanzania inazungumzia ukanda. Leo. Kanda ya ziwa: Butimba, kizumbi,buhare, bunda ttc,tarime ttc katoke ttc, tabora ttc, shy com,uhaziri tbr. Govt institutions. Ukiriguru, nyegezi fisheries.
Nn kingine lake zone.?

Chuo Kikuu cha Serikali kipo? Kipi? Kilianza lini? Kama huna sekondari za kutosha unapelekaje vijana kwenda vyuoni? Watu wengi wa kanda ya ziwa kama si kusomea nje ya kanda wasingekuwa na elimu. Nenda leo hata hapo SAUT halafu chunguza. Utashangaa wengi ni kutoka kanda nyingine. Why? High schools ni chache kanda ya ziwa.... ni hii yote ni mkakati wa kuwanyima elimu vijana wa kanda hiyo ili waendelee kutawaliwa....Mnanikera
 
Kwa Afrika ... It's not the vote that count ... It's who count the votes ... Hata Kama watachagua CDM 2015 , kkama Hakuna Tume Huru ya Uchaguzi ... Tegemea Maumivu na kukereka zaidi ... Mark my word!!!

Mkuu hiyo imenikumbusha Josef Stalin.
 
hapo heading inatoa picha ya ukabila na ukanda.mbona wapo wasomi wengi tu kutoka kanda ya ziwa kwani chuo kiki dsm ni kwa ajili ya wazaramo au hospital ya bugando ni kwa ajili ya wasukuma .wanao kwenda kusoma nje wanatakiwa waishi/kukulia air port
ndugu yangu!!! hapa utabishana na hawa WATUMWA WA KIAKILI mpaka utatoka povu la damu, wamelaaniwa hawa na ni kizazi cha nyoka hivyo hakuna mafundisho utakayowapa wakakuelewa.. wanadhani UDSM imejaa wakwere na wazaramo
 
Dar es salaam kwa taharifa yako wageni ni wengi kuliko hao wazaramo, even shule zote bora DSM kama hazijajengwa na serikali basi wageni. Nenda kaangalie watoto kwenye hayo mashule.

Wanakoishi wazaramo na wakwere kwanza hakuna shule au shule ziko mbali sana, nenda kaangalie. Sijasikia shule hata moja iliyo jengwa na mzaramo uzaramoni au ukwereni? Wamjengee nani?

Sasa unategemea utaingia chuo gani kama haujapata elimu ya msingi bora?, hatakama chuo hicho kiko Mwanza nani atakuadmit?
Mbona tulijenga UDSM na wakati chuo kikuu kilikuwa Makerere? Kwani kulikuwa na haja gani? Situngekwenda soma elimu ya juu Makerere au medicine in Kenya? Kwani ugumu ulikuwa wapi? Au unadhani elimu yetu ni bora zaidi?

Kubali au usikubali, uwepo wa shule nyingi bora hasa za awali zinasaidia sana kuinua kiwango cha elimu katika hilo eneo!

Wewe wajengee shule bora kabisa na huduma nzuri hao wasukuma uone.

'Little drops of water make the mighty oceans move' trust me.

This is fact!
 
Kweli kanda ya ziwa na magharibi tumelala sana TUAMKE.
 
Hii ni ishara kwamba sasa chadema wameshaanza kupoteza matumaini ya kutwaa dola kama walivyokuwa wakiota ndoto zao za alinacha. Sasa wanataka kuigawa nchi. Tanzania itabakia kama ilivyo na siijui sana mwanza na shinyanga lakini tabora na kigoma nazijua vizuri sana. Tabora na kigoma haziwezi kuwa siyo sehemu ya tanzania. Infwakti, sisi wanadarisalama tuna historia na Kigoma na Tabora ya zaidi ya miaka 300. Historia yetu na ukanda wa chadema haifiki hata miaka 70. Hivi mnasubiri nini kujiunga na wakikuyu wenzenu? Rais wenu Uhuru juzi ameshinda uchaguzi kwenu huko...

kuna mawazo mengi ya kipumbavu mmelishwa sijui na nani,kila watakaodai kitu wataambiwa wanaleta ukabila mara ukanda mara ni chadema pasipokuangalia uhalisia wa madai yenyewe au kupinga kwa hoja,watz wa enzi za nyerere hawapo na hata viongozi kama hao akina nyerere hawapo na hawatakuja kutokea,anayeongea sana ukabila ndiyo mkabila namba moja,eti usivyo hata na aibu unawaponda wakikuyu utafikiri unawajua zaidi ya kusikia kwenye vyombo vya habari.
 
Hapo kwenye nyekundu, inawezekana watz wa enzi za nyerere hawapo, lakini chama kilichotawala enzi za nyerere ndicho kinakutawala mpaka leo.

Na hapo kwenye kijani umesahau kuongezea kwamba na anayeongea sana udini ndiyo mdini namba moja
 
Acheni ukabila Mwanza kuna St Agustine, CBE wana Campus yao, kuna Chuo cha Ualimu Nyegezi, kuna Chuo cha Kilimo, Bungando Hostpital kuna Chuo.

Sasa sijui unataka Mwanza wafanyie nini tofauti na mikoa mingine.
Hivi vyote ni hisani ya catholic church!
 
Pamoja na ukweli kwamba kwa miaka yote tangu uhuru mpaka sasa watu ya kanda ya ziwa wamekuwa wakikandamizwa na kunyimwa elimu, bado kundi hili kubwa limeendelea kukumbatia chama ambacho kimekuwa sababu ya umasikini mkubwa kwa wengi katika eneo hilo.
- Kwa miaka yote Serikali ilihakikisha kuwa shule za Sekondari zinabakia chache ili vijana wasipate elimu
- Serikali ikaweka mkakati wa makusudi ili eneo hilo lisipewe Chuo Kikuu cha Serikali.....

Palikuwa na sababu gani kuvipanga Vyuo Vikuu.. Dar... Morogoro... Dodoma? Kwa nini kimoja kisingekwenda kanda Ya ziwa?
- Kwa makusudi Serikali ikaweka mikakati kuhakikisha mazao ya biashara kanda ya ziwa yanapata bei za kusuasua ili wananchi wawe hoi kiuchumi....

Imefika wakati wa kila mtu kutumia alicho nacho. Kanda ya ziwa amkeni sasa na mtumie wingi wenu kwa maslahi yenu.
Anayekuja huko kutaka uraisi, kwanza ajibu swali ataifanyia nini kanda hiyo inayoibiwa mali kila kukicha na wajanja janja wanaocheka cheka tu....?
Zungusha macho na uone ni mali kiasi gani zinatoka Kanda ya ziwa na manufaa yake ni nini?

KWA KWELI NINYI WA KANDA YA ZIWA MNANIKERA....

Hivi mtachezewa chezewa mpaka lini? Mtakanyagwa kanyagwa mpaka lini? Mtaibiwa ibiwa mpaka lini? Mtadanganywa danganywa mpaka lini?
NASEMA TENA: MNANIKERA.......................EBOOOOOOO....

Mleta mada naomba kukuulizasawali rahisi... Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam kipo Dar Es Salaam, je kwa kujengwa kwake Dar es Salaam kimefanya wazaramo wengi kwenda kusoma hapo? Au, Waluguru wengi wameenda SUA sababu chuo hicho kipo morogoro? Kinachopeleka mtu chuo kikuu ni elimu nzuri ya sekondari. Ukishakua na elimu nzuri utaenda mahali popote kwa vigezo vyako
 
Zero brain.Watu huwezi sema hawana elimu.Vyuo kuwa Moro,Dar na Dodoma haimaanishi vipo hapo kwa ajili ya watu wa mikoa hiyo tu ni vya watanzania wote.
 
Dah...
"Ukiona mtu anaanza kuongelea ukabila ujue amefilisika kifikra" - Dr. JKN
 
Back
Top Bottom