Umekosa kazi wewe! hivi mtu mwenye akili zake timamu anaweza kulalamika kuhusu kufungiwa kwa Masanilo? yule jamaa anajulikana kwa matusi yake na kejeli kwa dini za wenzie, labda tabia zenu zinafanana ndio maana una lalama hapa kama mtoto.
On training job wanaangalia wingi wa posts hata wewe endelea tu siku moja utasitukia umekuwa Mod bila kuangalia historia yako ya nyuma, kwa hiyo kama ulikuwa na bifu na mtu hapo ndipo pakumalizia.