Nakasirishwa na wanaume wanaoomba namba hovyo

Nakasirishwa na wanaume wanaoomba namba hovyo

Ila mtoa mada unavituko kwa hiyo ulikua hujui kabisa watanzania wengi tuna hali mbaya kiuchumi mpaka ulivopost juzi habari.Haya hizo habari za huyo kijana znahusikaje hapa.
 
ni vyema kama wasifu wako ungekuwa wa kwako bila ya kuweka hapa tupo watu wa level tofauti ili kuweka usawa tunajitahidi kuzungumza kwa namna ya kutoonyesha utabaka wowote .. sasa binti/ mama kila mtu akiamua kuweka wasifu wake na kuishi kwenye level yake sidhani kama hili jukwaa litakuwa na maana kabisa tungeishia kusifiana au kuchukiana ..

Dah mara ya kwanza nlipoona jina lako nkajiuliza unapigwagwa chagga sana na mameni au ni chagga kabila letu.. Anywaz i do sometimes lik posti zako.
 
Hi guys,

Happy new year,

I hope all of u r ok.

Nipo hapa ku apologise kwa maneno ambayo hamkupendezwa nayo ktk mrejesho wangu, I didn't mean to offend anyone, neshwa na wording ktk maandishi yangu so I do apologise.

Hata hivyo nimepata kujifunza kitu kutoka kwenu, kuwa kumbe raia wengi wana hali mbaya kiuchumi na kimaisha, why? Sababu sikutarajia kabisa watu wawe offended kwa kusikia neno gari, kenya airways, kufunga hesabu za kampuni etc, nilipovitaja niliamini ni vitu vya kawaida sana kwa wengi wetu, sikuona sababu ya mimi kuonekana najivuna kwa kuvitaja, unapokutana na rafiki yako ktk maongezi akataja jana alikula kuku kwake then wewe ukakasirika kusikia neno kuku, inaweza kuleta picha kuwa kuku kwako ni jambo kubwa So nikajiuliza swali nisingetaja ndege nikataja train/basi nisingeonekana najivuna, hali ya raia ni mbaya kwa kweli

Kuna mwana JF mmoja alidanganya wenzie humu kuwa alinifuata pm kwa kunitega na kuwa nilimueleza kwamba mimi ni Mhaya, kwamba nakaa Gongo la mboto, na kwamba nauza duka Kariakoo, hii imedhihirisha kwamba nilichokua naongea kwenye uzi ni cha kweli, wanaume wa aina hii unaweza kuwaitaje?

Ndio wasiokua na kazi kufikia hatua kutunga uongo ili ufurahishe watu, ni wazi huyo maisha ndio yamemchanganya kufikia hatua hiyo, ni wazi alitaka kuonekana hero, sasa kwa nn nguvu hizo za kudanganya usiwekeze kwenye kazi kama unayo, hatuwezi kujenga taifa hivi.Hakuna hata mmoja alienifuata pm niliemjibu chochote niliziangalia tu na kuachana nazo.

Mwisho;
Yeyote aliekwazika na maneno ya uzi ule, ikiwemo kutamka maneno ya classes za maisha na kadhalika basi that person should find a place in his/her heart to forgive me, however msimamo wangu kuhusu wanaume kuomba namba ovyo unabaki pale pale, nguvu hizo zitumieni kufanya kazi

2014 niliombwa na idara ya HR kum recommend staff mmoja wa kiume ambae alikua anamaliza probation, ili awe confirmed, niliwaandikia barua kuwa simuhitaji kabisa, ame perform below standard, hii ilitokana na jamaa huyo kushinda akitumia simu kuliko kufanya kazi, akifika asubuhi anaanza kupiga simu za wasichana wote aliowaomba namba jana yake, na wakati anaongea wenzie wote wanamsikia akiwemo supervisor wake, tena akijisifu kabisa kuwa jana kapata namba tano za wanawake aliambiwa na HR wakuu wako wamekukataa so we are sorry sikumuonea maana kazi zake zote tunazompa ni za kusukumana kwanza

Mimi si Mhaya kama mlivyodai, mama yangu ni mtusi na baba mrangi, jukwa nalolipenda zaidi ni lile la International, habari kama za Russia, Nato, Usa, military science etc, na nime coment huko sana.

Am not arrogant at all, nilivyozungumza ni vitu vya kawaida in my life, kwenda oversees kikazi nakwenda every time and then, kumiliki gari wote mnajua sasa hivi hapa dar ni basic need na sio luxury tena, na wengi mnamiliki, kufanya kwenye kampuni za maana huenda wengi tu mkawa mnafanya sasa sioni kwa nn mtu ukasirike ukivisikia hivi unless uwe kwenye opposite direction ya hivi nilivyotaja.

Tufanye kazi kwa bidii
Nawatakia heri ya mwaka mpya

Mercy
Some stupid limbukeni wa mjini kweli sasa weee unafuta kik bila identify, eti gari... Kenya Airway... So what?? Si ajabu ume spread miguu kwanza ndio ukanunuliwa hucho Kipasso!! What a paranoia douchebag
 
Huyu kama alivosema brenda18 ni wa kusamehe bure, huenda amekaa sana ughaibuni kaishasahau maisha ya watanzania, tumpe muda azoeee atajichanganya nasi tu soon or later
Hajafanya kosa hata, watu hatufanani kabisa. So Inabidi tu kuheshimu mawazo ya wengine
 
Mungu anapompa mwanamke elimu na mali kuliko mwanaume, wanaoumia ni jamii yake yote.

Mungu anapompa mwanamke uzuri wa sura na umbo kuliko akili, zinazoumia ni sehemu zake za siri.

Unaishi Dar es Salaam gani wewe ambayo inakufanya usijue hali za Watanzania?

Ukiwa unarudi huko oversees and you are about to land, huoni vile vijumba vya malofa pale Vingunguti? Au unaishi Dar ipi wewe?

Msamaha gani huu nia vichambo humo humo daah! Hivi huko shule+chuo ulienda kujifunza UJINGA?
 
ni vyema kama wasifu wako ungekuwa wa kwako bila ya kuweka hapa tupo watu wa level tofauti ili kuweka usawa tunajitahidi kuzungumza kwa namna ya kutoonyesha utabaka wowote .. sasa binti/ mama kila mtu akiamua kuweka wasifu wake na kuishi kwenye level yake sidhani kama hili jukwaa litakuwa na maana kabisa tungeishia kusifiana au kuchukiana ..
Kumbe ukiwa hujavurugwa unashuka nondo kinoma!chukua like kitufe sikioni hapa.
 
Natafuta wadhamini wa Miss Jf...
mwenye uwezo ajitokeze tufanye shindalo letu pendwa!!
 
Back
Top Bottom