Nakasirishwa na wanaume wanaoomba namba hovyo

Nakasirishwa na wanaume wanaoomba namba hovyo

ha ha ha me sipo kwenye poor
Una majigambo sana na limbukeni we dada. Eti hupo kwenye uPoor. Watu kibao humu wana uwezo mkubwa tu lakini hawajisemi.

#typical JF response to everything nice. Yani humu watu wanataka kusikia shida tuuu......
 
ha hahahaa aku kila mtu tajiri mie ndiyo nikae kwenye poor aku .. hata mimi ni rich
 
Teh Teh kama huyu mke wa @wakishua ana wasumbua hivi siku akija mwenyewe @wakishua lazima patachimbika sipati picha....yeye hupotea sana na akirudi lazima kila mtu atake kumpiga....
Akija anakuta wageni wengi basi wanatoka povu wenyewe, wakati wakishua anakua amerelax zake kwenye kigorofa chake kinyerezi
 
Kwa amechukua urai Wa Taifa letu au anaishi kimazabeee,pia nadhani anaupungufu Wa kuwa lumbukeni,wewe Leo hujui warundi wanaishije ndugu zakoo,pia siri za Ofisi ni siri za Ofisi,hufai kuwa Hr kbs wala boss Wa kampuni,
 
Huwa napata shida kutambua manufaa ya ugomvi wa status. Afadhali kwenye siasa najua baada ya uchaguzi watu niliowapigania watanipa dili.
 
Una majigambo sana na limbukeni we dada. Eti hupo kwenye uPoor. Watu kibao humu wana uwezo mkubwa tu lakini hawajisemi.

#typical JF response to everything nice. Yani humu watu wanataka kusikia shida tuuu......
Hahahahaha, ni kweli ukisema ilibaki kidogo niachwe na ndege utaambiwa unaturingishia, bora usema nimeachwa na lakrome .
 
ni vyema kama wasifu wako ungekuwa wa kwako bila ya kuweka hapa tupo watu wa level tofauti ili kuweka usawa tunajitahidi kuzungumza kwa namna ya kutoonyesha utabaka wowote .. sasa binti/ mama kila mtu akiamua kuweka wasifu wake na kuishi kwenye level yake sidhani kama hili jukwaa litakuwa na maana kabisa tungeishia kusifiana au kuchukiana ..
Kumbe na wewe tubusara unatwo...
 
Hivi Watutsi si wanaingiliana na wahaya kidogo??? Kwamfano wale watanzania waliopo karagwe si ni wanyarwanda Kabisa wale??? Au nalazimisha kumuita dada Aghata mhaya.
 
Back
Top Bottom