Nakasirishwa na wanaume wanaoomba namba hovyo

Nakasirishwa na wanaume wanaoomba namba hovyo

ni vyema kama wasifu wako ungekuwa wa kwako bila ya kuweka hapa tupo watu wa level tofauti ili kuweka usawa tunajitahidi kuzungumza kwa namna ya kutoonyesha utabaka wowote .. sasa binti/ mama kila mtu akiamua kuweka wasifu wake na kuishi kwenye level yake sidhani kama hili jukwaa litakuwa na maana kabisa tungeishia kusifiana au kuchukiana ..
 
Last edited:
ni vyema kama wasifu wako ungekuwa wa kwako bila ya kuweka hapa upo watu wa level tofauti ili kuweka uswa tunajitahidi kuzungumza kwa namna ya kutoonyesha utabaka wowote .. sasa binti/ mama kila mtu akiamua kuweka wasifu wake na kuishi kwenye level yake sidhani kama hili jukwaa litakuwa na maana kabisa tungeishia kusifiana au kuchukiana ..
Well said!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Dada angu wewe komaa tu utakua maarufu hapa JF ki-utani ivi ivi wewe dondosha thread kama series vile usiogope maneno,narudi sio muda kukutajia watu maarufu wa JF naendelea kukusisitiza KOMAA wewe KOMAA.
 
Maombi yangu kwa mods mtengeneze "Jukwaa la ujinga na uchizi" kwa ajili ya huyu dada na wengine kama huyu
 
Hi guys,

Happy new year,

I hope all of u r ok.

Nipo hapa ku apologise kwa maneno ambayo hamkupendezwa nayo ktk mrejesho wangu, I didn't mean to offend anyone, neshwa na wording ktk maandishi yangu so I do apologise.

Hata hivyo nimepata kujifunza kitu kutoka kwenu, kuwa kumbe raia wengi wana hali mbaya kiuchumi na kimaisha, why? Sababu sikutarajia kabisa watu wawe offended kwa kusikia neno gari, kenya airways, kufunga hesabu za kampuni etc, nilipovitaja niliamini ni vitu vya kawaida sana kwa wengi wetu, sikuona sababu ya mimi kuonekana najivuna kwa kuvitaja, unapokutana na rafiki yako ktk maongezi akataja jana alikula kuku kwake then wewe ukakasirika kusikia neno kuku, inaweza kuleta picha kuwa kuku kwako ni jambo kubwa So nikajiuliza swali nisingetaja ndege nikataja train/basi nisingeonekana najivuna, hali ya raia ni mbaya kwa kweli

Kuna mwana JF mmoja alidanganya wenzie humu kuwa alinifuata pm kwa kunitega na kuwa nilimueleza kwamba mimi ni Mhaya, kwamba nakaa Gongo la mboto, na kwamba nauza duka Kariakoo, hii imedhihirisha kwamba nilichokua naongea kwenye uzi ni cha kweli, wanaume wa aina hii unaweza kuwaitaje?

Ndio wasiokua na kazi kufikia hatua kutunga uongo ili ufurahishe watu, ni wazi huyo maisha ndio yamemchanganya kufikia hatua hiyo, ni wazi alitaka kuonekana hero, sasa kwa nn nguvu hizo za kudanganya usiwekeze kwenye kazi kama unayo, hatuwezi kujenga taifa hivi.Hakuna hata mmoja alienifuata pm niliemjibu chochote niliziangalia tu na kuachana nazo.

Mwisho;
Yeyote aliekwazika na maneno ya uzi ule, ikiwemo kutamka maneno ya classes za maisha na kadhalika basi that person should find a place in his/her heart to forgive me, however msimamo wangu kuhusu wanaume kuomba namba ovyo unabaki pale pale, nguvu hizo zitumieni kufanya kazi

2014 niliombwa na idara ya HR kum recommend staff mmoja wa kiume ambae alikua anamaliza probation, ili awe confirmed, niliwaandikia barua kuwa simuhitaji kabisa, ame perform below standard, hii ilitokana na jamaa huyo kushinda akitumia simu kuliko kufanya kazi, akifika asubuhi anaanza kupiga simu za wasichana wote aliowaomba namba jana yake, na wakati anaongea wenzie wote wanamsikia akiwemo supervisor wake, tena akijisifu kabisa kuwa jana kapata namba tano za wanawake aliambiwa na HR wakuu wako wamekukataa so we are sorry sikumuonea maana kazi zake zote tunazompa ni za kusukumana kwanza

Mimi si Mhaya kama mlivyodai, mama yangu ni mtusi na baba mrangi, jukwa nalolipenda zaidi ni lile la International, habari kama za Russia, Nato, Usa, military science etc, na nime coment huko sana.

Am not arrogant at all, nilivyozungumza ni vitu vya kawaida in my life, kwenda oversees kikazi nakwenda every time and then, kumiliki gari wote mnajua sasa hivi hapa dar ni basic need na sio luxury tena, na wengi mnamiliki, kufanya kwenye kampuni za maana huenda wengi tu mkawa mnafanya sasa sioni kwa nn mtu ukasirike ukivisikia hivi unless uwe kwenye opposite direction ya hivi nilivyotaja.

Tufanye kazi kwa bidii
Nawatakia heri ya mwaka mpya

Mercy
Pole dada
Tatizo ndege wengine tunaziona angani tu
Sasa unaposema unazipanda bac tunaumiiiiia
Sio wote wa kishua
Heri ya mwaka mpya nawe pia
 
Kayataka Mwenyewe Matusi Si Angenyamaza Tu. Msamaha Gan Na Majivuno Mengi. Utajibeba Wabongo Walivyovurugwa
 
Kuna kila dalili kuwa wewe pamoja na kujieleza kuwa umesoma unaonekana kuwa bado hujaelimika.
Wapo watu hapa Tz wana maisha mazuri sana (Kiuchumi) kukushinda wewe kwa mbali tu lakini hawajisifu sana kama wewe na hii ndiyo staili ya watu waungwana waliofanikiwa kupata maisha bora. Maisha ya kiungwana yanakutaka wewe uliyefanikiwa ukae kimya na uwaachie watu wengine wakusifie siyo kujisifia mwenyewe.Nakushauri ujifunze namna ya kuingiliana na watu vizuri ili upate baraka tele hapa duniani badala ya kuonesha Mbwembwe zisizo na maana.
 
ndo ivo classes zipo,ugomvi upo,kujidai kupo,kuonewa kupo,sehemu yoyote duniani.....ni maisha ya kawaida tu
 
If you want to fit in jf just play the typical Tanzanian, because it's what makes up most of JF anyway....

Otherwise you can post whatever you want.... You'll never please everyone.

Me napenda kusikia vitu vizuri vizuri so next time ukipost wakakusema you just tag me nifurahie post
 
Last edited:
Bado tunayo safari ndefu saaaaana....any way..ndio yanayofanya dunia izunguke!
 
Anatafuta umaarufu kwa nguvu zoooote,hv upo kweli hata kwenye list ya top 100 ya matajiri wa hapa bongo?
 
If you want to fit in jf just play the typical Tanzanian, because it's what makes most of JF anyway....

Otherwise you can post whatever you want.... You'll never please everyone.

Me napenda kusikia vitu vizuri vizuri so next time ukipost wakakusema you just tag me nifurahie post
Mi nilifikiri JF most mambo safi.....kila mtu ana usafiri wa nguvu,boss ofisini,HB,cute,kasoma!!!!
 
Back
Top Bottom