Nakasirishwa na wanaume wanaoomba namba hovyo

Nakasirishwa na wanaume wanaoomba namba hovyo

Huyu msichana atakuwa mgeni hapa mjini, kama siyo mgeni amekulia maisha ya shida sana, sasa angalau ameanza kuonja maisha ya afashari ndiyo maana yuko hivi
 
Sasa hapo mm nashangaa umeomba msamaha gan wakati unaonekaka kuwa na msimamo wako huo huo ila kweli we ni marigo sana ok anyway ngoja tuone episode inayokuja itasemaje???
 
Ahaaa kumbe mtusiii, wew unanyodo sana dada, labda hujajitambua, ni kweli magari kwa sasa wengi twamiliki na sio vibaya kusema unalo but the way unavyo present ujumbe wako ndiko nyodo na maudhi yako yanavyodhihirika.
Sikulaum but natamani ujifunze ulivyo itakusaidia
 
Sasa kama una magar cju majumba kunasababu yoyote wewe kujiexpose?kwa kuvitaja ivyo vitu alafu unasema eti kumbe watanzania ni wa al ya chn wapi ambako hakuna watu wa chini acha ulimbukeni wewe
 
Aa nimeangalia profile picture ya mleta mada nikadhani ni kabinti kabichi nikataka kukarushia vocal...Aa kumbe ni mama mtu mzima mwenye watoto 6, tehe tehe tehe wekeni picha zenu bana!
 
Hongera sana kwa kwa kuomba Samahani. Huo ndio uungwaana.

Uliposema unafunga mahesabu nikajua ni mhasibu na mhasibu ni lazima ajue uchumi. Kupitia kwako nimebaini yafuatayo. Mosi wewe si mwenye KIU ya kutafuta maarifa na weledi juu ya mambo mengine tofauti na kazi yako. Kuna utafiti unaonyesha 70% ya watz ni maskini na kati ya hao 90 ni maskini wa kutupwa, hohehahe. Kwa maana hiyo iwe Dar au mikoani gari litatafsiwa kama ishala ya "utajiri".

Kuhusu uvivu na uzembe si wewe si mimi watz kwa ujumla wetu tunafanya kazi at a minimum. Taarifa ya ILO ya 2013 ilbainisha tija na ufanisi katika sehemu za kazi kwa mkenya 1 ni sawa na watz 3. Watz 8 ni sawa 1 kutoka Jumuiya ya ulaya.

UMASKINI ukitamalaki roho za husda na hila huongezeka. Kwa hili nakubaliana na wewe.

NB: If you want to change the world you must change you first.
 
Dada kama wewe ni mtusi basi sina haja ya kujiuliza zaidi maana ndugu yako @GENTAMYCINE a.k.a @cleverbright hana tofauti na wewe kwa majigambo.
Tena yako cha mtoto,huyo mwenzio ni balaa tupu!

MIMI MTUSI aka MNYAMBO WA BUKOBA NIMEPOTELEWA VITU VIFUATAVYO.

1. Cheti shule ya msingi ST. KINGSOVER YA LONDON ENGLAND.

2. Cheti cha sekondary. ST. MARTIN FERDNAND NEWYORK MAREKANI.

3. Cheti cha Advance . HUMBERG HIGH SCHOOL UJERUMAN.

4. Cheti cha Chuo degree. OXFORD UNIVERSITY.

5. Cheti cha Masters .HARVAD UNIVERSITY

6.Lesen ya Udereva. TOKYO DRIVING CENTRE JAPAN.

7. Bima ya Afya. INDIAN HEALTH INSURENCE INDIA.

Shikamoo WAHAYA/WANYAMBO
 
Hahahahahaaa
cc @cleverbright
 
ha ha hahaha
 
Ulitaka eaombe nini ovyo?nyengine wakiomba mtawapa?
 
Back
Top Bottom