Nakasirishwa na wanaume wanaoomba namba hovyo

Sindano inafanya kazi, tulieni iwangie
sindano jichome wewe ulie mgonjwa! ivi wanawake mko wangapi? kazi za kuajiriwa ndio zinakupa majivuno kiasi hicho? laiti ungejua mwili huo unaweza ukakuacha anytime na tukafukia na kukusahau ushinge subutu hata kuposti hizo pride! hakuna aliye bora kuliko mwingine! usijione wewe mtu wa thamani sana dadayangu huko chooni huwa unatoa vitu vya ajabu na vingine vingi harufu kali! so jichunguze alafu utulie!!
 
Sasa mm ndio mleta mada? Mm naunga mkono hoja zake naziona zina mashiko
 
Mimi sijakuelewa hii ni riwaya au ulikuwa unatunga tungo ya taarab upate ajira kwa Isha Mashauzi?
 
Mhhh! Kazi ipo
Pamoja na kazi aliyonayo as na elimu yake ndio sasa amegudua watanzania wengi wana hali mbaya kiuchumi. na gari ni
basic need kama chumvi vile. Pls you better keep quite kwani unazidi kuchefua. Napata picha jinsi unaishije na majirani zako.
 
Unaniambia mimi au?
 
Bado Hata Posti Yako Ina Uchagga.
Haya Nitatafuta Pesa Ila I Wish Uwe Na Kichwa Na Akili Za Kichagga Afu Bodi Na Trela La Kitanga Au La Kimakonde.
wahi sasa bodi la kimakonde nitoe wapi wakati mi mchaga acha hiz bana
 
Takupeleka Mombasa Kule Wanabadilisha Malori Kuwa Mabasi.
Kichwa SCANIA Bodi La Basi
 
Kurejearejea hapa ni cheap words ndizo zinakufanya uonekane kilaza..! Ebu koma mwaka wa mabadiriko..
 
Back
Top Bottom