Nakasirika kila mara mke wangu ananiambia ananipenda. Kuna haja gani sasa?

Mke wangu kila dakika ananiambia ananipenda mpaka nakasirika.

Wataalamu kuna haja gani ya kila mara kumwambia mtu haya maneno. Mbaya zaidi ananilazimisha na mimi kila mara nimwambie maneno haya haya!

Aisee sijawai kuwa kwenye mapenzi yenye usumbufu kama haya.
Kuna jambo anaficha.....
 
........Wapaka rangi za kucha wanawatia wake za watu kwa vitu vidogo sana kama hivyo, wewe Endelea kutopenda kuitwa hivyo, mpaka DNA ije kukufumbua macho kuwa watoto wanaokuita baba siyo wako.
Acha Kukariri, hata umwambie Mkeo kila sekunde kwa mwaka mzima, kuwa unampenda kufa....bado akitaka anaenda Kuliwa uroda hata na Muuza Mkaa!!

Hakuna Mwanaume Duniani anayeweza kutimiza kila tamanio la Mwanamke, kama hata Kope zao hawazitaki tena, Nywele, kucha, wewe ni nani...!?

Hivi unawajua Wanawake ama unawasikia...!?

Wewe timiza majukumu yako kama Baba, fanya yale unaweza kufanya, achana na kumchunguza mwanamke!

Siku ukigundua live live kuwa anakusaliti, huyo anakua ameshakuzarau, piga chini, otherwise kama Mnaishi Mbezi beach, na yeye anaenda kugongwa kigamboni, anarudi kimya kama alikua Kanisani....! Endelea kuishi tu.
 
Back
Top Bottom