Nakaribia kudhulumiwa, naombeni ushauri

Usimroge mkuu [emoji28], twende kwa mwajiri ukiwa na backup ya malalamiko yako.

Pole sana!
Tatizo umbali.. sipo DSM, sipo mkoa wenye hiyo nyumba, na naskia yeye saivi yupo kozi mkoa mwingine tena. I wish nimlaze kitandani tuu
 
Ushauri uliompa sio mzuri
 
Kama ni mwanajeshi basi Kuna Malaya anamuhonga au anajenga kwake maana hao Jamaa wanalipwa tu poa,ila kama ni askari polisi msamehe tu Bure maana hawana tofauti na Waalimu.
 
Kama ni mwanajeshi basi Kuna Malaya anamuhonga au anajenga kwake maana hao Jamaa wanalipwa tu poa,ila kama ni askari polisi msamehe tu Bure maana hawana tofauti na Waalimu.
Kwahiyo askari polisi wamechoka mbaya kabisa [emoji28][emoji28]
 
Hiyo nyumba uliwezaje kujenga na huo uoga wa kuogopa mwanajeshi tena koplo? Au yaurithi? Fuata njia zakisheria mtoe acha kubembeleza.
 
Sawa mkuu, jmosi nitaleta mrejesho kwasababu ndio nitafika pale Ngome-Upanga kwa ajili ya kutafuta taarifa zake na kumshtaki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…