Kuna watu ni madhulumati yaliyokubuhu na wasumbufu tu kwahiyo akiamua anakwenda moja kwa moja baraza la wilaya anaweka wakili wa mchongo danadana zinaanza,nilishayapitia hayo ndugu kwahiyo najua ninachokisema.Uko sahihi kwa sehemu mkuu.
Ingawa lazima shauri lianzie Baraza la Ardhi la Kata kwa ajili ya Usuluhishi. Wakishindwa Kata ndio liende Wilaya.
Thanks anyway, ingawa sitaki huu usumbufu, nataka tu aachie chumba changu.
Nashukuru sana mkuu kwa back up hii.Acha kutisha watu wewe kayatimba yap sheria zipo Na haki itapatikana muhimu yeye kujua cha kufanya akiwa na ushahidi,
Watu kama wewe ndio manaochangia usumbufu kama huu kisa vyeo vyenu
Usipangishe askari wa jeshi lolote lile hasa Hawa vyeo vya chini ni wakorofi.Kumbe jamaa ni wasumbufu eh?
Sitaki afikishe mwezi hapa kwangu. Next stop ni Upanga mkuu, nimeshauriwa na wadau nikaombe taarifa zake pale na kumshtaki pia; naweza kupata msaada.Kama hutaki mambo mengi sijui mahakamani ,sijui polisi n.k ...
fanya hivi...
Nenda kwa mjumbe mwambie humtaki huyo mpangaji kwako na sababu ni hii.
hapo atapewa mwezi mmoja au siku kadhaa kama week 2 hivi za kuhama na atahama na
Ikibidi kabisa mtishie huyo mpangaji kwamba utaenda kazini kwake kushitaki kama atagoma kuhama. yaani asipohama huyo labda sijui..
Kuwaroga tena mkuu [emoji1][emoji1]Mkuu watu kama hao uwa wanajiandaa kusumbuana usikute ni mhaya au mnyaki wewe ukienda kwa mjumbe yeye anaenda baraza la ardhi na nyumba na mauongo kibao na hakuna sehemu yenye urasimu kama huko jambo dogo tu ambalo lingeweza kuisha kwa wiki au wiki mbili linachukua miaka mitano na hata ukija kushinda aambiwe akulipe fidia hana chochote cha kukulipa labda ungesema dawa ya wajinga kama hao ni kuwaroga tu kama kweli huo uchawi upo.
Kweli kabisa mkuu, nakiri nimekosea tangu mwanzo.Shida ya kweli iko hapa!
Na ameshakujua udhaifu wako, anapita humo humo!!!
Ajabu sana mkuu, afadhali na wewe ushangae [emoji28]Ila wewe jamaa, umeandika nini hiki?
Kama kweli inawezekana hiyo ndiyo dawa yake.Kuwaroga tena mkuu [emoji1][emoji1]
Kwenye pombe kweli ni mtu wa tungi sana na madem pia.Huyo anachukulia poa lkn tumpe muda huyo jamaa hata kama ni kuruta sio maskini wakushindwa kulipa kodi, mshahara wa chini kwa mwanajeshi haupungui 1.2 take home, ndio ashindwe kulipa 50 au 70 kwenye hilo, na kama anaishi bila ya familia itakuwa pesa zote anamalizia kwenye pombe au wanawake, maana kwenye kambi nyingi za jeshi wameweka bar mshahara ukitoka tu inakuwa kama fungulia goli.
Siijui kambi yake, nimeshauriwa niende Ngome Upanga naweza kupata msaada wa taarifa zake.Acha kuogopa vyeo.. Nenda Kambi yake ongea na Mkuu wa Kambi... Imeisha hiyo....
Jaribu kuficha ujinga wako mkuu (ujinga sio tusi)Mimi nimetoa ushauri wangu kwa mujibu wa huyo mtoa mada akili yake ilivyo, sikutoa ushauri kama ningekuwa mimi, kwa sababu ningelikuwa mimi asingewahi hata kujaribu kunifanyia hivyo, tungeheshimiana
Ajabu mno mkuu, afadhali na wewe ushangae [emoji28]Are you normal?
Asante mkuu. Alificha kazi yake wakati anakuja kupanga. Nimekuja kugundua baadaye sana.Jua jina lake kamili, then nenda makao makuu ya jeshi kamshtaki.
nawe utapangishaje mwanajeshi? pole sana
Hapo sasa! Ajabu sana mkuu...huyu jamaa sijui anatumia nini kufikiri [emoji28]We ni kilaza, yaani auze nyumba aliyoijenga kwa jasho na damu kisa ms3ng3 mmoja tu
Jamaa hayuko sawa huyo, iko shida mahali [emoji28]Khaa!kwa hiyo wapo juu ya sheria au ameyatimba kivipi?Acha kumtisha mwenzio
Jamaa ana shida mahali [emoji28]Hakuna kitu kama hicho
Kesho mapema tu nitakuwa pale Ngome mkuu. Nawashukuru sana kwa ushauri.Akishajua force number yake tu mchezo umeisha
Aende hapo lugalo au ngome watajua wapi Kambi yake ilipo.
Sheria ilishabadilika mkuu, lazima shauri lianzie Kata, wakishindwa wanaidhinisha ndio liende Wilaya.Kuna watu ni madhulumati yaliyokubuhu na wasumbufu tu kwahiyo akiamua anakwenda moja kwa moja baraza la wilaya anaweka wakili wa mchongo danadana zinaanza,nilishayapitia hayo ndugu kwahiyo najua ninachokisema.
Usipangishe askari wa jeshi lolote lile hasa Hawa vyeo vya chini ni wakorofi.
Hao kama hawakoi kwenye kota zao basi kwenye nyumba zao.
Noted, mkuu.Fuata taratibu za kisheria kumtoa
Mpe notisi.
Then atolewe kibabe hakuna kumwogopa