Sir Bulbul
Senior Member
- Feb 3, 2024
- 151
- 326
Kama ndio unavyoona sawa nimetoa mawazo yanguWewe ni boya sana acha ujinga na uoga
Kama ndio unavyoona sawa nimetoa mawazo yanguWewe ni boya sana acha ujinga na uoga
Shida ya kweli iko hapa!.................Jamaa ni mtaratibu sana, anazungumza kwa upole; kila nikijaribu kumtoa hata kwa kumsamehe hiyo kodi huwa napatwa na huruma.
Ila wewe jamaa, umeandika nini hiki?Unajua umeandika kama sisi humu ndio majirani zake huyo afande, sikiliza mdogo wangu, wakati wowote unapopatwa na tatizo lolote jaribu kuwa mtulivu na kama unahitaji ushauri toa maelezo ya kutosha yanayohusiana na msaada unaohitaji, pia usikurupuke kutoa hukumu au kuchukuwa maamuzi kwa kutumia hasira au utashi wako binafsi, unaweza kuwa umeonewa, umedhulumiwa, au vyovyote itakavyokuwa, lakini dunia hii haki pekee haikufanyi uwe na sauti mbele ya mamlaka au sheria, hususan upande huo wa magwanda, kwao wao hakuna sheria za duniani wala za mbinguni zinazofanya kazi, kwahiyo kuwa makini huyo anaweza hata kukunyanganya hiyo nyumba akasema ni yake na mamlaka ikakuweka wewe ndani na kusema ulitaka kumdhulumu, kwa kifupi umeyatimba, nakushauri mvumilie na mpe siku au mwezi kama hajalipa mwambie mimi nyumba nauza, utamuwachia msala huyo atakaekuja kununua, kwa kifupi umeyatimba.
Huyo anachukulia poa lkn tumpe muda huyo jamaa hata kama ni kuruta sio maskini wakushindwa kulipa kodi, mshahara wa chini kwa mwanajeshi haupungui 1.2 take home, ndio ashindwe kulipa 50 au 70 kwenye hilo, na kama anaishi bila ya familia itakuwa pesa zote anamalizia kwenye pombe au wanawake, maana kwenye kambi nyingi za jeshi wameweka bar mshahara ukitoka tu inakuwa kama fungulia goli.Yes.
Kweli Maisha magumu, kama umempangisha nyumba mzima anaweza kutengeneza documents akampiga hiyo nyumba
Acha kuogopa vyeo.. Nenda Kambi yake ongea na Mkuu wa Kambi... Imeisha hiyo....Wakuu habarini za wakati huu. Naandika uzi huu nikiwa na simanzi sana!
Nina eneo langu Ukonga KMKM ambapo nimejenga nyumba moja kubwa ya kupangisha na vyumba vingine 4 vyenye sebule na choo ndani. Nimefanya uwekezaji huu kwa kujinyima sana tena nikitumia pesa yangu halali.
Mimi siishi Dsm kwa sasa. Changamoto ipo kwa mpangaji mmoja bwana mdogo ambaye ni Mwanajeshi mwenye cheo cha Coplo, ni rika langu, yuko kati ya 30-37; ananisumbua sana kulipa kodi. Nimemvumilia vya kutosha. Pamoja na kuweka kodi ndogo lakini bado jamaa ananisumbua mno.
So far namdai zaidi ya milioni moja. Kuna wakati nasafiri kwenda Dar kutazama maendeleo ya makazi yangu na nakutanaga nae lakini anaishia kunipiga sound. Jamaa ni mtaratibu sana, anazungumza kwa upole; kila nikijaribu kumtoa hata kwa kumsamehe hiyo kodi huwa napatwa na huruma.
Kwa sasa enough is enough. Mara ya mwisho nimekutana nae Desemba mwaka jana, akakiri kwa maandishi kwamba namdai na atalipa deni lote Jan. 29 mwaka huu. Kilichotokea ni kwamba tarehe 29 imepita na kakaa kimya! Nikimpigia simu zangu hapokei. Kwasababu niko mbali, nimemtuma mpangaji wangu mmoja ninayemwamwini ili anipe nizungumze nae ila inasemekana jamaa hayupo pale kwa takribani wiki 3, kuna tetesi ameenda kwenye kozi Kibaha.
Ningeweza kwenda kumshtaki kambini kwake lakini sijui yuko kambi gani, kuna wanaosema yuko Lugalo ila hawana uhakika.
Naombeni msaada wakuu, naamini kuna watu ni Wanajeshi humu, wengine mna ndugu zenu Jeshini na hamuwezi kukubali dhuluma ya namna hii, naombeni msaada wa namna ya kuitambua kambi yake, majina yake nayajua, niko tayari kumsamehe hiyo kodi ila anipishe ili nitafute mpangaji mwingine.
Naomba kuwasilisha.
N:B: Wapangaji wote wana Mikataba. Kimsingi huyu jamaa ameshavunja terms za Mkataba muda mrefu. Naweza kumdai kodi Kimahakama lakini sitaki kupoteza muda.
Kama huelewi potezea comments ni nyingi na nyengine ni fupifupi si ndio mlivyoambizana vilaza comments ziwe fupifupiIla wewe jamaa, umeandika nini hiki?
Are you normal?Unajua umeandika kama sisi humu ndio majirani zake huyo afande, sikiliza mdogo wangu, wakati wowote unapopatwa na tatizo lolote jaribu kuwa mtulivu na kama unahitaji ushauri toa maelezo ya kutosha yanayohusiana na msaada unaohitaji, pia usikurupuke kutoa hukumu au kuchukuwa maamuzi kwa kutumia hasira au utashi wako binafsi, unaweza kuwa umeonewa, umedhulumiwa, au vyovyote itakavyokuwa, lakini dunia hii haki pekee haikufanyi uwe na sauti mbele ya mamlaka au sheria, hususan upande huo wa magwanda, kwao wao hakuna sheria za duniani wala za mbinguni zinazofanya kazi, kwahiyo kuwa makini huyo anaweza hata kukunyanganya hiyo nyumba akasema ni yake na mamlaka ikakuweka wewe ndani na kusema ulitaka kumdhulumu, kwa kifupi umeyatimba, nakushauri mvumilie na mpe siku au mwezi kama hajalipa mwambie mimi nyumba nauza, utamuwachia msala huyo atakaekuja kununua, kwa kifupi umeyatimba.
Jua jina lake kamili, then nenda makao makuu ya jeshi kamshtaki.Wakuu habarini za wakati huu. Naandika uzi huu nikiwa na simanzi sana!
Nina eneo langu Ukonga KMKM ambapo nimejenga nyumba moja kubwa ya kupangisha na vyumba vingine 4 vyenye sebule na choo ndani. Nimefanya uwekezaji huu kwa kujinyima sana tena nikitumia pesa yangu halali.
Mimi siishi Dsm kwa sasa. Changamoto ipo kwa mpangaji mmoja bwana mdogo ambaye ni Mwanajeshi mwenye cheo cha Coplo, ni rika langu, yuko kati ya 30-37; ananisumbua sana kulipa kodi. Nimemvumilia vya kutosha. Pamoja na kuweka kodi ndogo lakini bado jamaa ananisumbua mno.
So far namdai zaidi ya milioni moja. Kuna wakati nasafiri kwenda Dar kutazama maendeleo ya makazi yangu na nakutanaga nae lakini anaishia kunipiga sound. Jamaa ni mtaratibu sana, anazungumza kwa upole; kila nikijaribu kumtoa hata kwa kumsamehe hiyo kodi huwa napatwa na huruma.
Kwa sasa enough is enough. Mara ya mwisho nimekutana nae Desemba mwaka jana, akakiri kwa maandishi kwamba namdai na atalipa deni lote Jan. 29 mwaka huu. Kilichotokea ni kwamba tarehe 29 imepita na kakaa kimya! Nikimpigia simu zangu hapokei. Kwasababu niko mbali, nimemtuma mpangaji wangu mmoja ninayemwamwini ili anipe nizungumze nae ila inasemekana jamaa hayupo pale kwa takribani wiki 3, kuna tetesi ameenda kwenye kozi Kibaha.
Ningeweza kwenda kumshtaki kambini kwake lakini sijui yuko kambi gani, kuna wanaosema yuko Lugalo ila hawana uhakika.
Naombeni msaada wakuu, naamini kuna watu ni Wanajeshi humu, wengine mna ndugu zenu Jeshini na hamuwezi kukubali dhuluma ya namna hii, naombeni msaada wa namna ya kuitambua kambi yake, majina yake nayajua, niko tayari kumsamehe hiyo kodi ila anipishe ili nitafute mpangaji mwingine.
Naomba kuwasilisha.
N:B: Wapangaji wote wana Mikataba. Kimsingi huyu jamaa ameshavunja terms za Mkataba muda mrefu. Naweza kumdai kodi Kimahakama lakini sitaki kupoteza muda.
Hakuna kitu kama hichoUnajua umeandika kama sisi humu ndio majirani zake huyo afande, sikiliza mdogo wangu, wakati wowote unapopatwa na tatizo lolote jaribu kuwa mtulivu na kama unahitaji ushauri toa maelezo ya kutosha yanayohusiana na msaada unaohitaji, pia usikurupuke kutoa hukumu au kuchukuwa maamuzi kwa kutumia hasira au utashi wako binafsi, unaweza kuwa umeonewa, umedhulumiwa, au vyovyote itakavyokuwa, lakini dunia hii haki pekee haikufanyi uwe na sauti mbele ya mamlaka au sheria, hususan upande huo wa magwanda, kwao wao hakuna sheria za duniani wala za mbinguni zinazofanya kazi, kwahiyo kuwa makini huyo anaweza hata kukunyanganya hiyo nyumba akasema ni yake na mamlaka ikakuweka wewe ndani na kusema ulitaka kumdhulumu, kwa kifupi umeyatimba, nakushauri mvumilie na mpe siku au mwezi kama hajalipa mwambie mimi nyumba nauza, utamuwachia msala huyo atakaekuja kununua, kwa kifupi umeyatimba.
Khaa!kwa hiyo wapo juu ya sheria au ameyatimba kivipi?Acha kumtisha mwenzioUnajua umeandika kama sisi humu ndio majirani zake huyo afande, sikiliza mdogo wangu, wakati wowote unapopatwa na tatizo lolote jaribu kuwa mtulivu na kama unahitaji ushauri toa maelezo ya kutosha yanayohusiana na msaada unaohitaji, pia usikurupuke kutoa hukumu au kuchukuwa maamuzi kwa kutumia hasira au utashi wako binafsi, unaweza kuwa umeonewa, umedhulumiwa, au vyovyote itakavyokuwa, lakini dunia hii haki pekee haikufanyi uwe na sauti mbele ya mamlaka au sheria, hususan upande huo wa magwanda, kwao wao hakuna sheria za duniani wala za mbinguni zinazofanya kazi, kwahiyo kuwa makini huyo anaweza hata kukunyanganya hiyo nyumba akasema ni yake na mamlaka ikakuweka wewe ndani na kusema ulitaka kumdhulumu, kwa kifupi umeyatimba, nakushauri mvumilie na mpe siku au mwezi kama hajalipa mwambie mimi nyumba nauza, utamuwachia msala huyo atakaekuja kununua, kwa kifupi umeyatimba.
Too generalised mkuu., nahisi umeandika kwa hisi bila fact. Mambo kwa ground ni tofauti mkuu.Katika kada wanazoishi maisha magumu ni wanajeshi.
Hapo ukitoa vitu bila yeye kuwepo una kesi utatengenezewa.
Hivi vikozi vifupi havizidi miezi 4, subiri arudi umtoe kwa kutumia mjumbe au mwanasheria mchezo umeisha. Atalala mitaroni huyo nguchiro
Tusubiri marejeshoHuyo anachukulia poa lkn tumpe muda huyo jamaa hata kama ni kuruta sio maskini wakushindwa kulipa kodi, mshahara wa chini kwa mwanajeshi haupungui 1.2 take home, ndio ashindwe kulipa 50 au 70 kwenye hilo, na kama anaishi bila ya familia itakuwa pesa zote anamalizia kwenye pombe au wanawake, maana kwenye kambi nyingi za jeshi wameweka bar mshahara ukitoka tu inakuwa kama fungulia goli.
Uko sahihi kwa sehemu mkuu.Migogoro ya ardhi likiwemo hilo la kodi hayapokelewi polisi kwa sababu hiyo sio jinai bali ni shauri la madai hivyo apeleke shauri lake baraza la ardhi na nyumba la wilaya.
Sio rahisi kama mnavyodhani mkuu.Yes.
Kweli Maisha magumu, kama umempangisha nyumba mzima anaweza kutengeneza documents akampiga hiyo nyumba
Ni vile tu sina muda mkuu.Hawa watu wanaitwa askari si watu wa kufanya nao ukaribu hata kidogo, kama ni urafiki uwe wa kupeana tu salamu barabarani ila kuwaingiza kwenye maisha yako binafsi hasa ya kifedha utaishia kulia
Akishajua force number yake tu mchezo umeishaDalali aliyemleta most likely anajua.
Hao wapangaji jirani zake, most likely yawezekana alishawahi spit-out kambi yake.
Anzia hapo Lugalo, kama sio wa kambi hiyo, Mkuu wa Kambi atakusaidia kumlocate sababu una mjua majina yake.
Hana familia mkuu. Ni mtu wa pombe ila ana kadem kake kamoja ambako kanakujaga akiwepo.Nenda hapo Upanga kama ulivyoshauriwa ukiwa na kopi ya nyaraka zote muhimu zitakazokusaidia ktk mdai yako, muhimu majina yake matatu,hao wanaokushauri umsubiri arudi vp kama anajiandaa kwenda zake nje ya nchi kwamwaka mzima.
Pia naomba kuuliza je haishi nafamilia ambayo ingekusaidia kujua kambi yake