Mimi sihitaji muandiko.
Nilivyosikiliza maneno na kuangalia lips zinavyoenda tu tayari.
Next mtasema wametumia software kumfanya mdomo wake ufuatishe maneno yao.
Wamekuwa Pixar?
Mmemsikia mwanasheria Tundu Lisu nyie mawakala wa magamba mnaoropokaropoka humu?
Hapa ndipo mlipoharibu ..uongo wenu kwa ile video ulikuwa uko uchi sasa na kwa hii ndio mmepyeeeeeeeeeee!!!!!!!!!! kwa hiyo hili ni desa wauaji wameze au ni kwa ajili ya kusoma wakariri watafaulu mtihani wa utekaji na mauaji? au ni kwa ajili ya kwenda kununua hizo bidhaa hapo Spray,Dawa za usingizi maana wanaweza kusahau!! Bwaaahhhh! Yaani Lwakatare anapanga mauaji kwa mama ntilie,anarekodiwa na pia maneno anayoyaandika yanapatikana...Sasa naelewa kwa nini zero zinaongezeka!!
Hivi unaufahamu mwandiko wa Rwakatare?
kiranga umeshawahi jiuliza in a video unaweza just chop maneno anayoongea mtu na kuunganisha to make new clip ??suppose hawa watu walikua wanajadili mambo mengi tu ikiwa siasa na hata mambo ya biashara,mi ndio maana sikutaka to conclude koz lwakatare haongei continuous kama anavoongea huyu mwenzake very clear.sijui utasema nini ikiwa hii video itakuwa proved fake.
Ni lazima Huyo BUKOBA BOY AKAMATWE KUISAIDIA POLISI
Nimesema CHADEMA lazima tu imutoe kafara Lwakatare au kumtosa kama kweli wanataka kuwa active na damage control. Kuendelea kumbeba kwenye mbeleko ya chama Lwakatate ni kuzidi kujisogeza kwenye tukio. Who knows, labda kuna video na makabrasha mengine ambayo ni more incriminatory out there.
Angalia, mpaka namba ya mtu ya simu ameandika. This guy is really bogus. Hata maswala ya ulinzi na usalama wake hayajui achilia mbali kulinda chama.
Hakufanya hata vetting ya watu aliokuwa anaongea nao na anawapa maelekezo nyeti kama haya. Mpaka note yake amewapatia.
kuna watu watakataa kuwa huu siyo mwandiko wake, lakini kugundua hand writing ni rahisi sana zaidi ya sauti ya mtu.
Hiki sio Kingereza, hii ni teknologia
chadema na @Dr W Slaa sio watu wa kuwapa trust kabisa..
hatuwezi kuwapa nchi yetu watu wauaji na wahuni kama chadema..
Wakafie mbele huko..
ulitaka alete nani ili umuamini? ungeijua bukoba boy bila hugochavez?
Yes hii ndo jamii forum unapika uongo na unaumbuka
hii sasa kali, slaa yuko wapi alisema video ni ya uongo.. aje akanushe tena hii
Mkuu tuko pamoja hapa. Yaani hapa ndio unaona ni jinsi gani hawa waliopanga huu mpango walivyo weupe kabisa. Yaani Lwakatare baada ya kuandika hiyo karatasi akaawachia ili waje waiweke hapa JF. This is highest level of foolishness!!! Eti hawa ndio master mind wa serikali ya Kikwete, aibu tupu!!!!
Tiba
Kweli nchi hii imepasuka kidini!... Kwakuwa Lwakatare ni mkristo BASI HUGO na waislamu wenzako mmelivalia njuga suala la kumzushia Lwakatare kesi zisizo na kichwa wala miguu!...
Inaumiza saaana wakristo kuona mtu aliyepanga njama za mauaji ya MAASKOFU, MAPADRI, WALEI NA WACHUNGAJI na kutimiza azma yake kwa miezi sita (6) hakamatwi lakini tuhuma za uzushi jeshi zima la polisi linavalia njuga na kumkamata kwa vitu vya mtandaoni!...
HIVI MANENO YOOOOTE ALIYOSEMA ILUNGA YANGEELEKEZWA KWA WAISLAMU, ... MKRISTO HUYO ANGEKUWA NJE MPAKA LEO?
KWAKUWA SAFU YOOTE YA VIONGOZI WA JUU WA SERIKALI NA JESHI LA POLISI BASI ILUNGA ANALINDWA!...
Ww ndio mtupu kweli. Kwani hujaona clip ya Obama akiwa kalishwa maneno. Nawe mwanasheria wa chuo cha kata au?The continuous portions are sufficiently informative with no cloud of suspicion based on editing.
Tunaona mpaka sehemu mtu kaingia anasalimia jamaa kauchuna mpaka apite etc.
Nilishasema hapa kwamba there is a way to spin this.
But I don't intend to give free legal services.
Yeyote atakayesema hii iko doctored either amepumbazwa na mapenzi yake kwa CHADEMA au ana overestimate technology, possibly both.
Kuna habari ya lips kwenda na maneno, na sauti ya mtu mwenyewe.Hivi vitu viwili kama vingekuwa rahisi hivyo basi tungeona videos nyingi sana Obama kalishwa maneno.
Anafuata ushauri wa Babu si unakumbuka list of shame aliipeleka Uwanja wa Mwembe Yanga kwenye mkutano wa hadhara mita kumi KUTOKA kilipo kituo cha Polisi
Teknologia ndo gia gani hiyo?
Unateta Kiingereza wakati Kiswahili kinagomba?
Unataka tuzame kwenye teknolojia mpaka tukutolee ma RFC hapa?
Unaijua RFC ni nini kwanza?