Nakala ya karatasi na mwandiko wa Lwakatare wakati anatoa maelekezo hii hapa

Ukweli siku zote una nguvu kuliko uongo ingawa uongo usambaa zaidi kuliko ukweli hata hivyo maelezo ya ukweli ni rahisi sana kuyaelewa kuliko maelezo ya uongo vilevile picha ya uongo ni vigumu sana kuielewa kuliko picha au mchoro wa kweli. kuthibitisha ukweli ni lahisi kuliko kuthivitisha uongo. wajinga siku zote hujipima kwa akili zao wenyewe na kudhani keamba wao ndo wenye akili zaidi kuliko wengine. wenye busara hujipima kwa akili za wengine . isue ipo mahakamani kuutetea uongo ni kazi ngumu kuliko kuutetea ukweli.
 
Chadema kama wana karatasi yoyote yenye muandiko wa Lwakatare waweke hapa tujaribu kulinganisha muandiko. Sio rahisi mtu kufoji muandiko sawa sawa kila kitu.

Hapa ndio rahisi kujua uongo uko wapi.

Mie nahamini haya mamb yamepikwa na tunaelekea pabaya.
 
Kwa teknolojia iliyopo sasaivi, hata wewe unaweza kuandika upumbavu huo na kusingizia ni mtu fulani.Acha uzuzu ulichoandika hakina mshiko.
 
dah!still comfused,.......kama ni kweli wameframe hii ishu,basi jamaa wako vizuri sana!lakini elimu na uzoefu vinadhibitisha kuwa hakuna kazi yenye ufanisi wa asilimia mia
 
Tamaa ya fedha ilimfanya hata Yuda Iskariote kumsaliti YESU, Sorry for muslims, Mtu alidanganywa na fedha kuusaliti ukombozi wake mwenyewe na mwisho aliishia kujinyonga..
Wasioutaka ukweli wajue Tanzania ilipokuwa si hapa ilipo na hakuna njia ya kuitejesha nyumba kwenye ile system ya analogia
 
Habari wanajukwaa;

Kama alivyoahidi BUKOBA BOY kwenye maelezo yake yaliyoambatana na video ya LWAKATARE kwamba atakuwa anatupa ushahidi mmoja baada ya mwingine, Amesharusha karatasi aliyokuwa anaitumia Lwakatare kuchukua Note/Summary wakati anatoa maelekezo kwa kijana wake kwenda kuandaa mazingira ya utekaji.

Inayoonekana juu kulia kwenye karatasi ni namba ya MSACKY, Mwandishi wa habari wa mwananchi ambaye ni target mojawapo katika kutekwa. Wale waliosema kwamba ile video ni ya uongo wajiridhishe sasa kwamba BUKOBA BOY ana full data na amejiimarisha.

Wakubali sasa kwamba huu ni mwandiko wa LWAKATARE NA HAYO NI BAADHI YA MANENO ALIYOYATAMKA KWENYE VIDEO YAKE.

Zaidi unaweza kutembelea youtube japo haionekani vizuri.. NAOMBA MODS WAIKUZE HAPA JF ILI WASOMAJI WASIPATE SHIDA. KARATASI YENYEWE HII HAPA CHINI

attachment.php


Duuuuuuuuuuuh! si mchezo. hivi kuna watu ni magaidi kiasi hiki???? Asante sana Hugo Chavez KWA KUTUJUZA. WENGINE HATUJUI HAYA MAMBO. ENDELEA KUSHUSHA DATA HAPA KADIRI UNAVYOZIPATA ILI TUJUE UGAIDI WA CHADEMA. HII NI HATARI SANA KWA USALAMA WA NCHI[RAIA WAKE]. AGAIN, THANKS A LOT FOR THE INFO.KEEP IT UP!
 
Duuuuuuuuuuuh! si mchezo. hivi kuna watu ni magaidi kiasi hiki???? Asante sana Hugo Chavez KWA KUTUJUZA. WENGINE HATUJUI HAYA MAMBO. ENDELEA KUSHUSHA DATA HAPA KADIRI UNAVYOZIPATA ILI TUJUE UGAIDI WA CHADEMA. HII NI HATARI SANA KWA USALAMA WA NCHI[RAIA WAKE]. AGAIN, THANKS A LOT FOR THE INFO.KEEP IT UP!

huyu jamaa natamani angejitokeza tumpe zawadi japo magaidi wanaweza kumuua hawa..nampongeza sana
 
Lwaka amefunguliwa mashtaka kama yeye na sio chadema kwamba alikuwa anapanga kutekeleza matendo ya kigaidi
 
Lwaka amefunguliwa mashtaka kama yeye na sio chadema kwamba alikuwa anapanga kutekeleza matendo ya kigaidi
Hapa unazungumzia issue ya [individual criminality] . Je Lwakatare kwa cheo chake ni [operative wa nani?????] naomba jibu. mumeshikwa pabaya.
 
Back
Top Bottom