Nakaaya Sumari Kugombea Ubunge CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nakaaya Sumari Kugombea Ubunge CHADEMA

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Regia Mtema, May 25, 2010.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #1
  May 25, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0


  Hivi karibuni Msanii Nakaaya Sumari aliamua kujiunga na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) kwa lengo la kufanya siasa.Pamoja nakujiunga na chama hicho lakini Nakaaya anatarajia kugombea Ubunge kwa lengo la kuwatumikia wananchi kwa njia ya siasa..Nadhani baadhi yetu tumeshamsikia akieleza nia yake hii..Kwa sasa yuko huko Arusha anajipanga namna ya kupambana..
   
 2. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Kila la kheri Nakaaya I hope atapata suport nzuri kutoka kwa Wasanii wenzake
   
 3. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #3
  May 25, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kila lililo heri Nakaaya!...mie nampendaga nina hamu ashinde!!!
   
 4. MpigaFilimbi

  MpigaFilimbi JF-Expert Member

  #4
  May 25, 2010
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,171
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 133
  Hebu iweke vizuri!! Kugombea ubunge CHADEMA ina maana wa viti maalumu?
   
 5. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #5
  May 25, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  hongera nakaaya.wewe si tu mwanamke wa shoka bali nakuita kidume,sio mwoga ,unauchungu na nchi,si mnafiki.makofi kwako.wanafiki walivalishwa tisheti, kwanza ni waoga maisha pilui nja kali ngoja niwataje,mwana fa,chidi benz,prop j,jo si makini,diamond,nawooote waliokuwa nao.walikuwa wa kwanza kupiga vibao vya kuiponda serikali ya ccm kwamba inashindwa kutunga sheria ya haki miliki ,hawafaidi jasho lao leo sheria haijatungwa wameshavaa tisheti wanafiki wakubwa,njaa kali vigeugeu wakubwa ,wasaliti wa vijana,wachumia tumbo kama kuku akishibishwa kidogo huvuruga kila kitu.Nakaaya tafuta jimbo ukipata nitaarifu kupitia hapa hapa jf nitakupa suport[wana jf mumtarifu kamasi msomaji wa forum hii]huwezi kujiita mwana hip hop kama si mgumu.nawashauri chd,profesa,na jo makini wakaimbe taarabu ndiko unaweza kuimba usichomaanisha.hip hop is a real thing.
   
 6. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #6
  May 25, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Mkuu mbona umekasirika hivyo?daa pole sana kwa kweli inatia uchungu sana..
   
 7. L

  Luveshi Senior Member

  #7
  May 25, 2010
  Joined: May 22, 2010
  Messages: 185
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Kwani mwanamke hawezi kuwa na sifa hizo?acha kudharaulisha wanawake.
   
 8. P

  Paul S.S Verified User

  #8
  May 25, 2010
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  kila laheri, lakini ni ubunge upi wajimbo au viti maalumu
   
 9. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #9
  May 25, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Kusema vile hakumaanisha kudharau wanawake..nadhani umemuelewa vibaya!
   
 10. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #10
  May 25, 2010
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,993
  Likes Received: 1,000
  Trophy Points: 280
  Anagombea kupitia jimbo gani?Nje ya Arusha Mjini ni ngumu,wakisha mkubali mtu ni ngumu kuwabalisha tofauti na Arusha Mjini ukijaribu kuangalia historia yao wamekuwa wakibadilishaga wabunge mara kwa mara,kama Felix Mrema anagombea tena ni kama anamsukuma mlevi vile.
   
 11. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #11
  May 25, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Si mbaya ni mwananchi mwenzetu acha atumie haki yake ya kikatiba. Me naogopa hawa jamaa wasijemtengenezea ajali!
   
 12. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #12
  May 25, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  waungwana wekeni na picha yake bac na sisi wengine tumjue
   
 13. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #13
  May 25, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  yep hii nimeipenda sana, big up ccta Nakaaya, go!
   
 14. doup

  doup JF-Expert Member

  #14
  May 26, 2010
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 1,172
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  Hongera Dada kwa hatua hiyo; ile single yako ya Mr.Politician. Angalia tu endapo utazama mgengoni; watu wasikutolee mS.poLiTicAn
   
 15. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #15
  May 26, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Hongera sana Nakaaya Hapa JF nitakupa full support, nakaaya go go goooo God will bless you
   
 16. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #16
  May 26, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
   
 17. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #17
  May 26, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
   
 18. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #18
  May 26, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Jinsi ninavyompenda huyu dada ni mungu pekee ndie anajua ..zaidi namuombea mafanikio mema na baraka zote ziwe nae katika kipindi hiki cha harakati..
  All the best Nakaaya.
   
 19. s

  shwishwi Member

  #19
  May 26, 2010
  Joined: May 21, 2010
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  good luck gal !she doesn't afraid of challenges that's why i like her a lot, and btw shes down to earth. you go gal.
   
 20. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #20
  May 26, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Ms Politician!
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...