Elections 2010 Nakaaya Sumari Kugombea Ubunge CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Huyu ni opportunist. Ina maana amejiunga tu juzi na Chadema na kutaka ubunge, katiba ya chama ameielewa, katiba ya nchi anaielewa vizuri, kazi za mbunge anazifahamu? Au kuimba tu muziki tena single ya 'mr. politician' ndio kawa mwanasiasa? Basi Prof. J. angekuwa mbunge siku nyingi! Hivi ile deal yake na Sony imeishia wapi? Niliwahi kumsikia kwenye TV kwenye tamasha la wasanii pale British Council anasema anachukia watu wanaoiga mambo ya 'western' kama kuweka dawa nywele, sasa ile nywele yake uwa ameipaka mlenda? Huyu ni kati ya wale ambao hawatendi wanaoyohubiri! Marehemu Amina Chifupa alinzia kwenye vijana na alitumia vizuri talanta aliyopewa kuzalisha talanta nyingine!! Nakaaya jiandae kufunua talanta yako!!!

Sio kweli mbona huko bungeni kunamambumbu hawamfikii kimawazo Nakaaya tena kazi yao kusinzia tu.
 
safi sana,alichonifurahisha zaidi na kujua kwamba ni mpambanaji ni kitendo chake cha kujiunga na CHADEMA sio kama wengine wanaokimbilia CCM kwa manufaa yao binafsi.

mwambie haje hapa tutamchangia hela za kampeni mie nitakuwa wakwanza.
 
... NOW, NAKAAYA AMEAMUA KUWA PUBLIC KWA KUWEKA NIA, JE ATAWEZA KUONGOZA WANANCHI WAKATI ANA BIFU HATA NA NDUGU YAKE WA DAMU?

mkuu nadhani swala la bifu na ndugu hilo ni personal na sidhani kama viongozi wote duniani wana kosa bifu na ndugu zao.bifu na ndugu haitomzuia kulitumikia jimbo lake kama atachaguliwa.

ana uchungu na nchi yake na ndio maana kafanya maamuzi mazito kama hayo.tumtakia kila la kheri .
 
Ni kweli, last month tulionana Arusha airport akaniambia anatarajia kufanya siasa zaidi sasa, Good move....anajiamini atafanaya vizuri
 
Hongera baby kwa kutangaa nia yako lakini ujue siasa sio kama ulivyoimba "Mr. Politician". It is a game of crazy and sometimes stupid people. You ought to be out of you build political carrier.....si uliona JK na story ya Mbayuwayu pale mjini....... Alionyasha ukali sana lakini mambo mengi yapo pending and hajasema lolote.
Chukua dairy yako na urecord kila siku na kila tukio wakati wa mchakato..... unaweza ukapata album 10 kiulaini maana huko kuna vituko ile mbaya:becky:
 
Ndio maana nchi inadidmia kwa ajili hii, Anaelimu ya kutosha huyu na akingiia bungeni anaweza kutoa points za maana na kueleweka?Kweli sio mchezo
 
Ndio maana nchi inadidmia kwa ajili hii, Anaelimu ya kutosha huyu na akingiia bungeni anaweza kutoa points za maana na kueleweka?Kweli sio mchezo

Umesema kweli tupu!Tunawahitaji vijana kama hawa Mjengoni.
 
anahitaji support kubwa kutoka kwa watu wenye uchungu na nchi-MUNGU ibariki hii nchi kwani hata sisi wananchi hatuna nia dhabiti ya kuleta mabadiliko kwani mawazo mengi huwa tunabadilishana bar tu lakini hakuna actions thabiti kivitendo na wananchi walio wengi wanajua huu ndoi wakati wa kujipatia vijizawadi toka kwa wagombea.zawadi chukueni lakini tuchague wale walio bora tu
 
mkuu nadhani swala la bifu na ndugu hilo ni personal na sidhani kama viongozi wote duniani wana kosa bifu na ndugu zao.bifu na ndugu haitomzuia kulitumikia jimbo lake kama atachaguliwa.

ana uchungu na nchi yake na ndio maana kafanya maamuzi mazito kama hayo.tumtakia kila la kheri .
Na mara nyingi mtu hupezi pendwa na watu wote.Lazima wawepo wa kukuchukia hata kama ni mwema kiasi gani.Hayo ndo maisha.
Baada ya kusema hayo naunga mkono hoja mia kwa mia.
Gooo Nakaaya Gooooo!
 
Na mara nyingi mtu hupezi pendwa na watu wote.Lazima wawepo wa kukuchukia hata kama ni mwema kiasi gani.Hayo ndo maisha.
Baada ya kusema hayo naunga mkono hoja mia kwa mia.
Gooo Nakaaya Gooooo!
Asante Charity kwa mchango wako.umesema vyema!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom