Elections 2010 Nakaaya Sumari Kugombea Ubunge CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Yes, tunahitaji damu changa hizi!! Naamini utakuwa shupavu kama marehemu Amina Chifupa!! Ila tu siasa ni dirty game!!! Uwe makini!
 
Yes, tunahitaji damu changa hizi!! Naamini utakuwa shupavu kama marehemu Amina Chifupa!! Ila tu siasa ni dirty game!!! Uwe makini!

Kila sehemu hali ni mbaya hakuna ambako ni salama..Hata huko kwenye mziki kuna michezo michafu kuliko unavyodhani...
 
Nakaaya mama sikukatishi tamaa, ila nakukumbusha tu kuwa " kabla ya kuruka mtaro kwanza pima size ya hatua zako"
 
HONGERA SANA NAKAAYA KWA KUAMUA KUTUMIA HAKI YA MSINGI... politics si rahisi na si nzuri sana hasa kama wewe ni muadilifu... it doesnt matter uko chama gani, lakini hypocrisy and politics are life-mates!!!

KAZA MSULI, SI LAZIMA USHINDE LAKINI SAPOTI IPO YA KUTOSHA... NOW, NAKAAYA AMEAMUA KUWA PUBLIC KWA KUWEKA NIA, JE ATAWEZA KUONGOZA WANANCHI WAKATI ANA BIFU HATA NA NDUGU YAKE WA DAMU?

TIC-TAC' THE CLOCK IS TICKING AND I WISH NAKAAYA ALL THE BEST
 
hongera nakaaya, kwa kukufahamisha tu mjini arusha wanamchagua waziri dr........ kwa wakati huu, kwa miaka kumi na tatu chini ya huyo....... hakujajengwa hata barabara moja wala mjengo wowote wa maendeleo, na akitoa ahadi za uwongo kwa kila aliyemgusa bye byena karibu mh,dokturi...........
 
hiyo mambo ya bif si mtaji ndugu mara nyingi wana mambo mengi, ye akazane tu ataona huyo mdogo mtu akimshangilia tu, kazana, mi sithubutu hata umonitor wa darasa
 
Go gal! go. May God protect you on the way. I like the way you are honest and hardworking.
 
Hongera kwa kutumia haki yako vizuri.

Kugombea ni jambo moja je anaweza kushindana kwa maana ya kuuzika kwa wananchi? Ninini kinacho mtambulisha ktk siasa za taifa hili? tutegemee nini akiingia mjini dodoma?

Nadhani sauti nzuri ya kuimba si lazma ionyeshe uwezo mzuri wa kuongoza. Mwenye rekodi zake za uongozi atuwekee hapa tafadhali. Nadhani chadema inabidi kuingia katika mashindano kushinda na kuwa na viongozi watakaoleta uwakilishi wakutukuka kama wabunge waliopo sasa.
 


Hivi karibuni Msanii Nakaaya Sumari aliamua kujiunga na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) kwa lengo la kufanya siasa.Pamoja nakujiunga na chama hicho lakini Nakaaya anatarajia kugombea Ubunge kwa lengo la kuwatumikia wananchi kwa njia ya siasa..Nadhani baadhi yetu tumeshamsikia akieleza nia yake hii..Kwa sasa yuko huko Arusha anajipanga namna ya kupambana..

Hii safi sana.. Nakaaya ni miongoni mwa wasaania wanaopambana na ufisadi kupitia vipaji vyao na ninaomba aungwe mkono ili tulete siasa mpya na mawazo mapya katika siasa zetu..
Big UP SANA NAKAAYA kwa uamuzi huu wa hekima, wenzako wengi wamependa fedha na kukubali kununuliwa najua wote wanaotuhasisha tuchangie CCM kupitia nyimbo wanafanya hivyo si kwa mapenzi yao bali kwa sababu ya njaa zao, na washindwe na walegee
 
Uyo mdogo wake ktk iyo picture apo juu si mchezo n kifaa
ila mimi uyo mrs politician ningemshauri aanze na udiwani
 
HONGERA SANA NAKAAYA KWA KUAMUA KUTUMIA HAKI YA MSINGI... politics si rahisi na si nzuri sana hasa kama wewe ni muadilifu... it doesnt matter uko chama gani, lakini hypocrisy and politics are life-mates!!!

KAZA MSULI, SI LAZIMA USHINDE LAKINI SAPOTI IPO YA KUTOSHA... NOW, NAKAAYA AMEAMUA KUWA PUBLIC KWA KUWEKA NIA, JE ATAWEZA KUONGOZA WANANCHI WAKATI ANA BIFU HATA NA NDUGU YAKE WA DAMU?

TIC-TAC' THE CLOCK IS TICKING AND I WISH NAKAAYA ALL THE BEST

as a responsible sister nadhani tabia ya mdogo wak eilimchosha pia, she acted kama tu mtu mwingine amabvyo angeweza kufanya kama kakerwa na tabia mbaya za ndugu yake!!!

she was simply ashamed on her sister's behalf and to me that is a credit!!
 
Kila la heri Nakaaya. Natamani uende mujengoni ambako unajua hakika tunapewaga promise fake.
Usithubutu ku promise kitu hutaweza. Ni heri wasikuchague kuliko kuwapa ahadi ambazo hautaweza kuzitimiza mrs politician.
 
Huyu ni opportunist. Ina maana amejiunga tu juzi na Chadema na kutaka ubunge, katiba ya chama ameielewa, katiba ya nchi anaielewa vizuri, kazi za mbunge anazifahamu? Au kuimba tu muziki tena single ya 'mr. politician' ndio kawa mwanasiasa? Basi Prof. J. angekuwa mbunge siku nyingi! Hivi ile deal yake na Sony imeishia wapi? Niliwahi kumsikia kwenye TV kwenye tamasha la wasanii pale British Council anasema anachukia watu wanaoiga mambo ya 'western' kama kuweka dawa nywele, sasa ile nywele yake uwa ameipaka mlenda? Huyu ni kati ya wale ambao hawatendi wanaoyohubiri! Marehemu Amina Chifupa alinzia kwenye vijana na alitumia vizuri talanta aliyopewa kuzalisha talanta nyingine!! Nakaaya jiandae kufunua talanta yako!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom