Najuta sana

🤣 🤣 🤣 🤣
🤣 Mzee anavizia masege ya kijana
Kuna Mzee nikiwa Tanga alikuwa na mabinti wazuri halafu wana kimghahawa. Sijawahi kunywa chai tamu vile toka nizaliwe aisee kwa mapishi Tanga wanajua sana. Mwenyeji wangu Alison mchezo akaniambia hawa watoto wana password usije mruka au kujaribu kula mzigo utakufa.

Kifup jamaa alinielezea mengi sana alidai baba aliweka usinga kwa mama yao na wale watoto walimruka mama yao hivyo pia nao wana usinga wa mama yao. Jamaa alinambia mambo ya ajabu mpaka nikawa nawaona mademu wote kama wanaume acheni tu haya mambo yasikieni kwa watu..
 
 
Ukifika muda wa kutoa ushauri takuwa nimesahau mwanzo wa simulizi
 

🤣🤣🤣

Mweka hazina wa wakulungwa wa kataa ndoa...
 
vp ukitaka kuoa,utakufa au inakuwaje kuhusu hao mabinti.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…